KIBURUDISHO JF-Expert Member Joined Mar 28, 2011 Posts 1,002 Reaction score 278 May 11, 2011 #1 WanaJF mambo vp? Shwarii? Jamani mbona hizi chanel C2C na DTV zenyewe hazirushwi kwa njia ya satellite kama zilivyo zile za IPP MEDIA
WanaJF mambo vp? Shwarii? Jamani mbona hizi chanel C2C na DTV zenyewe hazirushwi kwa njia ya satellite kama zilivyo zile za IPP MEDIA
Kimbunga Platinum Member Joined Oct 4, 2007 Posts 14,977 Reaction score 10,073 May 11, 2011 #2 Nadhani ni gharama mkuu. Wao wameamua kurusha Channel ten kwenye satellite zingine wakaziacha. Kwa mara ya mwisho nilikuwa najua kwamba CTN, C2C, Channel Ten, DTV na Radio Magic zinamilikiwa na mmiliki mmoja yaani Africa Media Group
Nadhani ni gharama mkuu. Wao wameamua kurusha Channel ten kwenye satellite zingine wakaziacha. Kwa mara ya mwisho nilikuwa najua kwamba CTN, C2C, Channel Ten, DTV na Radio Magic zinamilikiwa na mmiliki mmoja yaani Africa Media Group