Mdakuzi JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 4,293 Reaction score 6,897 Oct 24, 2013 #1 Natumai kuna watumiaji wengi wa ving'amuzi vya Azsky G6. Mimi ni mmoja wa watumiaji G6, ila nahisi kuna channels sina katika list yangu.
Natumai kuna watumiaji wengi wa ving'amuzi vya Azsky G6. Mimi ni mmoja wa watumiaji G6, ila nahisi kuna channels sina katika list yangu.
baghozed JF-Expert Member Joined May 26, 2011 Posts 532 Reaction score 97 Oct 24, 2013 #2 kwangu sipati mnet reality