Channel Gani itaonesha Confederation Cup?

Faru dume

JF-Expert Member
Dec 7, 2012
471
116
Wanajamvi naombeni mnijuze ni ipi chaneli hapa bongo itaonesha mechi zote za kombe la mabara!
NAWASILISHA
 
mkuu kwa leo hebu sogea supersport maana mpaka sasa hakuna channel niloona tangazo
 
mambo yananoga hapa,dk 15 brazil 1-0 japan.hapa arusha milan cable wanaonyesha kupitia jsc sports 9,10 channels
 
Mechi zote zinarushwa live kutoka brazil kuputia Dstv channel ss203 na kuendelea.
 
Back
Top Bottom