Chanjo ama elimu?

Egwugu

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2011
Posts
17,558
Reaction score
8,556
Kati ya chanjo na elimu juu ya sababu za saratani za akina mama kipi kinafaa zaidi?

Hizi ni biashara za watu kuuza bidhaa zao Ulaya ndo maana hapa elimu haitakiwi kutolewa, tunalazimishwa machanjo kila uchao ili kutajirisha watu
 
Kwanini mnajaribu ku-criticize vitu msivyo na chembe ya ujuzi navyo?
 
Kati ya chanjo na elimu juu ya sababu za saratani za akina mama kipi kinafaa zaidi?

Hizi ni biashara za watu kuuza bidhaa zao Ulaya ndo maana hapa elimu haitakiwi kutolewa, tunalazimishwa machanjo kila uchao ili kutajirisha watu
Elimu ni sawa lakini matokeo ya Elimu hiyo yanaweza kufanya kazi katika kipindi cha miaka kadhaa na sio kwa 100%.

Kumbuka sababu nyingi za maambukizi ya ugonjwa huu ni za kitabia na kumbadili mtu tabia nni mchakato unaohitaji muda.

Kwa hiyo kwenye option mbili, kati elimu na Chanjo, ya Chanjo ilionekana ni Bora zaidi kwa kuanzia japo zitafanywa zote kwa pamoja ili kuleta matokeo ya muda mfupi kuokoa kizazi kilichopo kwenye hatari kwa Sasa.
 
Ndo maana tunahoji ili wenye ujuzi kama wewe muweze kuisaidia jamii yetu isiyo na maarifa juu ya mambo haya kwani huku mtaani ni kweli duku duku na maswali ni mengi kuliko majibu.

Una nafasi ya kutoa maoni, ushauri n.k

Cc: Macho Mdiliko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…