Changudoa Morogoro hatari!!!!

Mwana Kwetu

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2011
Posts
652
Reaction score
607
Jamaa yangu jana ameingia na mdada gest alipoamka asubuhi akamkuta hayupo na simu na fesha hakuna. Hii ni baada ya kutokumwona kwenye mkutano na ikawa simu yake haipatikani na tulipomtuma dereva pale aliposhukia tukamkuta ila akajikausha as if nothing has happened.
Kwa mujibu wa wahudumu jamaa aliingia saa 6 chumbani akiwa amefuatana na binti mmoja na walikuwa wameiva baada ya kupiga ulabu wa uhakika. Hadi sasa yule msichana hajapatikana.
Nawashauri vijana ogopeni pombe na jiadharini na hawa akina dada poa mnapokuja Morogoro kwani watakuchukulieni sio tu asset zenu lakini pia watawaambukiza VVU
 
Hawa wadudu wanapatikana mitaa gani ili tunapokuwa huko tuweze kuwakwepa?
 
Hawa wadudu wanapatikana mitaa gani ili tunapokuwa huko tuweze kuwakwepa?
Kila sehemu wapo hata mtaani kwako wapo sema hujawahi kutana nao kutokana na wewe si mtu wa kuhangaikia sana ile kitu......,ila kama unataka unaweza pitia bar yoyote leo kama jumatatu kwako imekaa njema na utakutana nao tu
 
wanapatiakana mtaa gani hapo moro,wengine tuajua techniq zao hao viumbe
huyo alieibiwa bado sanaa
 
Kila sehemu wapo hata mtaani kwako wapo sema hujawahi kutana nao kutokana na wewe si mtu wa kuhangaikia sana ile kitu......,ila kama unataka unaweza pitia bar yoyote leo kama jumatatu kwako imekaa njema na utakutana nao tu

Mkuu huwa wana vituo maalum nijuavyo wanaopatika kwenye mabaa ni mabaa medi na hawa wengi huwa wamejikoboa kiasi kwamba siku hizi siwezi hata kula nyamachoma kwani nikiowaona tu apetite inashuka.
Wanatakiwa watengewe maeneo tengefu ila walipishwe kodi au wapigwe marufuku
 
Wale wa vituo maalumu ni wale ambao hata kwenda bar na kuagiza soda au bia hawawezi hivyo huamua kusimama ama kukaa pembezoni mwa barabara kusubiri wateja,hawa ogopa sana maana hata ukiwa nao dakika tano tu wanakuliza.
Umetoa wazo zuri maana Serikali inakosa mapato katika biashara hii.
 
Teh teh teh!janja ya nyani!kuwakwepa au kuwapata walipo!

Tukutuku mi sitembei kwa gia ya rivasi huwa natumia gia za kawaida namba 1-4. Hizo zako hatujazoea sisi tumekuzwa kimaadili ya mababu.
 
Si angechukua mfano wa Adam Malima akatulia,chezea Moro wewe.Kweli hata Mloka kwenye mashairi yake alisema "hutoniacha Morogoro"
 
Tukutuku mi sitembei kwa gia ya rivasi huwa natumia gia za kawaida namba 1-4. Hizo zako hatujazoea sisi tumekuzwa kimaadili ya mababu.
Mkuu kama ni kweli basi nakutakia kila la kheri,maana siku hizi watu hawaaminiki hata kidogo!
 
Wambie ukweli maana kazi zao sio nzuri kama watunzi wa katiba
 
Mkuu Kaumba kijiografia hapo Moro ni mwelekeo wa wapi?

Mbele ya Luna kama unaenda Masika, ukifika maeneo ya ofisi za CCM wilaya unakata kona kushoto eneo hilo kuna bar nyingi nyingi ikiwapo na Moro Night.
 
Mbele ya Luna kama unaenda Masika, ukifika maeneo ya ofisi za CCM wilaya unakata kona kushoto eneo hilo kuna bar nyingi nyingi ikiwapo na Moro Night.
Mkuu nikifika Moro nijitahidi kukwepa hiyo mitaa kwani Biblia inasema ikimbieni zinaa na sio kupambana nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…