Changudoa kaniganda

Kapimeni afya zenu, kama yuko poa, unaweza ukawamfanya akaacha huo mchezo na mkafanya maisha, usijali kuhusu yy kutembea na wanaume wangap,mwanamke yoyote ambae sio bikra hana tofaut na huyo so kama umemwelewa weka chuma ndan.
Ndoa yake itafungwa kwenye kanisa lipi ?
 
Niwekesawa hapo mkuu Paulo alikuwa sehemu ya manabii 12 alichukua nafasi ya Yuda baada ya kujinyonga walikuwa watu 2 wakiombania hiyo nafasi Paulo na Justus kama sikosei zilipigwa kula nawale manabii 11 waliobaki ndipo paulo alipoingia hapo.
Noo mkuu.. Mathias ndio alichukua nafasi ya Yuda..
Paulo alikuja baada ya tukio hilo la kumchukua Mathias kuziba pengo la Yuda
 
ukisikia devil yupo kazini ndiyo kama hivyo mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu pole sana, tena pole sana, siku zote mwanzo huwa ni mgumu ukizoea hutakuja kuomba ushauri hapa. Hivi unawajua wanawake wewe?????
 
Endelea lakini tumia kondom. Wewe ulikuwa unataka tabia au papuchi? Si ulimtongoza kwa sababu uliamini ana papuchi? Na ulikuta papuchi? Tabia inakuhusu nini?
 
Ulitakiwa kumpa mambo huyo changu Hadi aache uchangudoa.
 
Mshauri aache kazi yake, akikataa achana nae.
 
Wala makombo mkowengi dah! Inasikitisha 🙁
 
We sikiliza tu ushauri wa kwamba uendelee nae utakuja juta don't trust a whore,we kuwa nae lakini nakuhakikisha hataacha ukahaba maana ndio unamfanya aishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…