Changudoa kaniganda

Kitu kidogo kama hiki hadi ulete Thread?
Mtoto wa kiumeni unashindwa na changamoto ndogo kama hii?

Inaonekana binti anajitambua kuliko wewe. Kuna wengine wanaifanya kwa malengo kama alivyokueleza.

Na wao ni binadamu kama wengine, wanapenda na kutamani. Wanahitaji kuwa na wapenzi wao permanently.
Kama wewe ulivyo na wao ni hivyo hivyo.

Fanya moja kati ya haya;
1. Mshauri kwa umakini na kimahaba.
Ili uweze kumbadilisha kimawazo.
- Siyo kumchunguza na kumpeleleza kwa udadisi.

2. Mpende ili aweze kujinasua na huo mtego unaomsumbua.

3.Muache mazima labda atapata mwingine atakayemshauri.

Yawezekana anafanya hivyo hata kwa lengo la kutafuta hata atakayemuoa ili atulie kabisa. Ila tu kwakuwa kila mmoja anamfikiria negatively.

Nimeongea kwa uzoefu wa kuwa na mahusiano na mtu wa namna hiyo kwa muda mrefu, ila nilimbadilisha sana na hivi sasa alishaolewa na ana watoto wawili.

Kuna siku nilionana naye mjini na watoto wake 2 akaniambia nashukuru sana kwa MALEZI yako uliyonipa 2016. Yawezekana ningekufa hata bila kuolewa!
 

🤣🤣🤣ati niniiiii???....anaogopa gharama🤣🤣🤣
 
Huyo ndo mwanamke wa kuoa Sasa huyo hawez kukuchit kamwe never
 
Hakawii kukubadilikia wakati wowote.
Ila kwa kupagawisha kunako 6x6 lazima uhusishe maneno meeengi ya kujifariji alimradi uendelee kupiga pushup za kiuno.
 
Kipimo cha kujua kuwa Demu kakuelewa baada ya mgegedo,in pale mnapoondoka sehemu ya tukio,afu ukfka unapoish mute,na yeye lazima akutafute kukuulzia umefka salama
 
 
Wengi sana tunawaona wife materials lakini ni wadangaji wakubwa sana.Kama unahisi unaweza kujenga naye maisha mtengeneze na ipo siku atakua mama bora.
Heri kahaba anayejulikana kuliko wema ambao wanagongeka kimya kimya na kila amtongozaye kwa kisingizio cha kuchuna
 
Endelea tu kumshauri mwenzako aoe mtu wa aina hiyo. Umpe tena na njia za kumtambulisha isije ikawa alishauzia mtu wa kwao
 
Pima nae afya!muulize kazi utaiacha?akikubali anzeni kazi!!!HAPA KAZI TU!WAKATI TUNAPATA UHURU TULIKUWA WACHACHE SASA KIJANA CHAPA KAZI TUONGEZEKE!!!
 
Lipia tangazo.
 
Umenikumbusha kuna mmoja toto toto kweli aliniganda hadi ikawa noma nilikuwa sikosekani mitaa ya Mori everyday na nispoenda ana mind kabisa. Ila ni wakorofi haoo kuwa makini sana mkuu
 
Kwanza kabisa fahamu hitaji lake ni nini mpaka kaingia kwenye hiyo biashara.
Pili nini anataka toka kwako?
Natumaini hata awe Malaya vipi, hiyo tabia anaweza kuacha kama kinachomsukuma kufanya umalaya atakipata toka kwako au kwa kushirikiana na wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawashukuru sana kwa mawazo yenu nyote. Kila ushauri umezingatiwa kwa ukubwa wake. Asante
 
Niwekesawa hapo mkuu Paulo alikuwa sehemu ya manabii 12 alichukua nafasi ya Yuda baada ya kujinyonga walikuwa watu 2 wakiombania hiyo nafasi Paulo na Justus kama sikosei zilipigwa kula nawale manabii 11 waliobaki ndipo paulo alipoingia hapo.
 
Niwekesawa hapo mkuu Paulo alikuwa sehemu ya manabii 12 alichukua nafasi ya Yuda baada ya kujinyonga walikuwa watu 2 wakiombania hiyo nafasi Paulo na Justus kama sikosei zilipigwa kula nawale manabii 11 waliobaki ndipo paulo alipoingia hapo.
Hapana mkuu nafasi ya yuda ilichukuliwa na mathiya matendo 1 :26
Paulo ni mtume tofauti na wale 12
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…