Changudoa ananipiga mizinga.

notifeki

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2013
Posts
402
Reaction score
283
Nilipita club moja nikaopoa changudoa moja ambaye ni mwanafunzi wa udsm. Kabla sijapiga mambo alinidai nimpe chake kabisa. Sasa kwa vile ni toto limeumbika balaa nikachukua namba ili nilitafune tena sikunyingine.
Sasa nashangaa linanitumia msg za kuniomba hela wakati linajua mi siyo bwanaake na uhusiano hapa ni wa nipe nikupe. Sijamtumia ananisumbua sana mpaka kero sasa. Nimeamua kumdelete.
 
ulitumwa umuombe namba babu hilo lako utachunda sasa..

pole sana one night stand huwa hawapewi namba mkuu ndio ujifunze sasa..
 
Epuka kununua ngono kijana... utanunua na magonjwa pia..
Vunja mawasiliana na uache hiyo tabia kama utaweza..
 
Simple,
Mwambie utampa hiyo hela, lakini nae akupe nanii yake uliyoila siku ile.
 
Uchangudoa hataki.Anataka uwe mtu wake.
 
ah wee umekosea huyo unamtumia buku kumi mbona utakuwa unamega bure kabisa kaka.
 
Siku zote uchangudoa hautaweza kutokomea kama sisi(wanaume) ni wanunuaji.
 
Mkuu kweli hili nalo ni la kulileta JF???
 

Ni PM namba yake, hao nawapenda sio wanafiki wa mapenzi. Wanatembea na condom ktk mikoba zikiisha anaingia dukani ananunua zingine bila aibu.
 
Jifikirie mkuu notifeki na ona aibu kuleta jambo kama hilo jukwaani.hiviv unafikiri ni jambo zuri na la kutangaza kuwa umenunua mapenzi?utakuja kulia kilio cha mbwa mdomo juu ukija kujua umenunua miwyaa kwa pesa nyingi!
 
Last edited by a moderator:
sasa kama aliona unafaa kuwa mteja wa kudumu, amekupendelea uwe unalipa advance kabla ya huduma mkuu, hiyo sio mizinga. hapo usilalamike ni dalili njema pia ya kupata mkopo wa huduma ikiwa huna pesa ya kumlipa. jenga nae mahusioano mazuri tuu atakuwa supplier mwema na mwadilifu kwako tena umeshaona ana viwango vya kutosha ndio maana ukachukua na namba ya simu mdumishe biashara. anyway andikianeni contract kabisa kwa biashara yenye kuaminiana.
 
Pole na hongera sana>ila nikuulize tu alikwambia kuwa kaathirika na ukimwi.Huyo mtu ni maarufu kwa kazi hio na wale wajanja zaidi yako walimpima kwanza na kugundua hayo niliokwambia.Jee wewe ndugu yangu ukoje?
 
Anasoma udsm! ebu muulize yuko faculty gani kama utabaki mdomo wazi..
 

ni wale shivaz jero jero wa chuga! pia ukapime hiv mkuu,
 

actually malaya ukimtreat vizuri lazima atakupendelea ....tatizo watu wengi wanawatreat vibaya malaya
 
Pole na hongera sana>ila nikuulize tu alikwambia kuwa kaathirika na ukimwi.Huyo mtu ni maarufu kwa kazi hio na wale wajanja zaidi yako walimpima kwanza na kugundua hayo niliokwambia.Jee wewe ndugu yangu ukoje?
mtu mzima hatishiwi nyau!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…