kula kwa tindo
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 1,330
- 324
Mkuu hawa vilaza hawatakosa "singo" ya kutokea,kama unavyojua usanii ni fani yao
Bajeti ya 2011/12 mlipa kodi mkubwa ilikuwa kampuni ya bia Tanzania TBL.
Walevi wakiaacha kunywa pombe, mark my words, serikali ita collapse, haitaweza kulipa mishahara ya wafanyakazi.
"Naendelea kuomba Mungu na natamani kuiona hiyo siku ambayo kila mtanzania atakuwa ameokoka"
Mungu wa Mbinguni yafanye maneno haya kuwa kweli,kwa ajili ya roho za watanzania zisiangamie"
Kuhusu kuwa serikali watafanyaje,kwa sababu nao ni watanzania na watakuwa wameokoka Mungu
atawapa akili ya namna gani wapate pesa za kuendesha nchi.
possibility kubwa itakuwa kuongeza Kasi kubwa zaid ya kuomba misaada nje na kukubali kuwakaribisha wawekezaji(WEZI WAKUBWA) Nchini kuchukuwa maradufu ya wanacho tupa upo hapo!!Ikiwa kwa Miaka mingi, Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, inategemea makusanyo ya Ushuru wa kodi za Sigara na Vinywaji (hasa Pombe) Katika kuendesha Shughuli zake (Kama tulivyoshuhudia ktk Bajeti zote)
Je! Endapo Watumiaji wa Sigara na Pombe wakikacha na KUOKOKA..
ITAKUAJE KWENYE BAJETI HIZI?
Serikali inatuaminisha kua WAVUTA SIGARA na WANYWAJI POMBE ndio wanaoliwezesha Ukuaji wa pato laTaifa hili ?