Changia wahitaji wa mazingira magumu kwa moyo

Jackson Zeno

Member
Sep 24, 2014
48
17
IMG_20160120_105148.jpg

Watoto Hawa ni yatima na wanahitaji msaada wako mwana jamii,.. WAPO Tanga Handeni. Tuna wasaidia chakula, malazi na shule. Ukiwa na imani na umeguswa tuma mchango Kwa M-Pesa 0762208190 AU Tigopesa 0718978295. Kusaidia wengine ni jambo jema.
 
Mbona kienyeji enyeji namna hiyo ndugu yangu?

Tutaaminije kuwa ni kweli au umeamua kuwatumia tu kama daraja la wewe kupita.

Misaada ya kwenye vituo vya watoto yatima huwa haiombwi hivyo ndugu yangu.

Na ukizingatia kuna utapeli wa hali ya juu unaouhusisha zaidi ya watu kumi(mtandao)
 
Asante Kwa maoni, Hawa na wasaidia binafsi na nimeandika kugusa wengine wenye imani kama wataweza kujitolea kunisaidia kuwa push.... Si kituo cha watoto yatima in fact. Asante sana
 
Back
Top Bottom