Changia CHADEMA; M4C

Watanzania wamekatishwa tamaa na tabia ya viongozi kutoleta marejesho ya maichango.

Niliwahi kuhoji pesa tulizochangia ARUMERU sikupata majibu, kwa hiyo nakuomba uwafikishie wakuu wako, wanachama tunahitaji mirejesho ya michango yetu.

Jambo la pili ni hiyo namba ya kuchangia 11 13 33 , michango hiyo kuna wasiwasi inapelekwa kusipo tazama hoo link
11, 13 and 33: The Illuminati / Freemason Signature


Umeelewa?
 
Bravo; kujitolea kwa kila mmoja wetu ndio ufunguo wa mabadiliko ya kweli; tusiwe mashabiki tena wa kuhudhuria mikutano ya CDM kwa wingi wakati hatuchangii vuguvugu lenyewe, tujitolee kwa hali na mali ili makamanda wetu walioko mstari wa mbele wapate hamasa na nyenzo za kuendeleza mapambano; tupande treni la CDM tulete ukombozi wa wanyonge wa nchi hii waliokandamizwa kwa miaka 50.
 
Tutachangia sana tu ila nanyi mzitumie vizuri hasa kusimika viongozi wazuri vijijini. CDM oyee!!
 

What is in a number?! hata wakitumia 666 au 786 utapata tafsiri 100 tofauti; stop being superstitious and stingy; kwa mwendo huo utapata tafsiri nyingi! shinda woga wako, mrejeo mkubwa zaidi ya ushindi wa Arumeru mashariki na kazi wanayofanya makamanda kusini mwa tanzania sasa hivi; 60 strong; watu zaidi ya 3000 wamevua magamba wakavaa magwanda. wewe unataka mrejeo upi bora zaidi ya huo!? performance and results are more important to us than financial statements for the time being; this is our own hard earned monies being deployed for a noble cause, hii sio ruzuku ya pesa za mlipa kodi kutoka hazina ambayo inahitaji mrejeo! lakini kama unataka kutambuliwa for personal glorification, then hilo ni swala jingine!! revolutions have many sacrifices; both human and material; lets soldier on for the time being. for now we need change to ameliorate the welbeing of the downtroden of this country, the accounting will come later; first things first.
 
CHADEMA ni freemasons?
sasa tumejua,
WASABATO TUKO WAPI?
 
Hii nzuri lakini umma umeeleweshwa kiasi gani ili kuwa na confidence kwamba huu si utapeli,? Tafadhali fanyeni utaratibu wa ku formalize hii plan
 
Kila mmoja wa wale waliokombolewa, awe balozi wa kuuhubiri umoja huu, na kuamusha ari ya uchangijia katika suala hili la ukombozi. wapo wachache wanaosubiri kugawiwa kanga na nyinyiemu, tuwapende, tuwaelimishe taratibu, kwani wale wote wana cdm ni wale wale wana nyinyiemu walio kombolewa!!!!
 

Safi sana.Lakini toeni matangazo kwenye magazeti na Radio ili wananchi wote wapate habari.
 
HQ04U983 comfirmed. Tsh 5000 sent to CHADEMA.

Karibu na wewe uchangie nguvu ya MABADILIKO.
 
Hii nzuri lakini umma umeeleweshwa kiasi gani ili kuwa na confidence kwamba huu si utapeli,? Tafadhali fanyeni utaratibu wa ku formalize hii plan
Wewe ukieleweshwa kama unania njema na chama elewesha na wenzako.......kama hujaelewa uliza utajibiwa
 

Najua wewe sio chadema! Au hauko serious!
 
Tutachangia sana tu ila nanyi mzitumie vizuri hasa kusimika viongozi wazuri vijijini. CDM oyee!!
Acha tuwawezeshe kwasababu ndiyo chama kinacho onekana kututetea tulio wengi lakini wajue hatuna ndoa nao siku wakisahau uwajibu wao kama CCM tunapiga chini....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…