Changia CHADEMA Kanda ya Kusini

Changia CHADEMA Kanda ya Kusini

Joined
Jan 4, 2015
Posts
29
Reaction score
13
CHANGIA CHADEMA KANDA YA KUSINI ILI TUWEZE KUSHINDA UCHAGUZI MKUU OCTOBA 2015

NAMNA YA KUCHANGIA
1. Piga *150*60# (AirtelMoney), *150*00# (M-Pesa) na *150*01# (TigoPesa)
2. Chagua na. 5 LIPIA BILI (AirtelMoney), na. 4 MALIPO (M-Pesa) na Tigopesa
3. Chagua na. 3 Namba ya Kampuni 213040 AirtelMoney, na. 2 Namba ya kampuni 213040 M-Pesa na na. 2 namba ya kampuni 213040 TigoPesa
4. Weka kiasi cha pesa eg. 10000
5. Namba ya kumbukumbu ni KUS
6. Weka namba ya siri
7. Tuma mchango wako.
BANK ACCOUNT:
NAMBA: 0150366723500. JINA: CHADEMA KANDA YA KUSINI. BANK: CRDB
Tunashukuru kwa mchango wako
Kwa mawasiliano zaidi piga 0787158788/0759158787 (Mratibu wa Kanda)
 
CHANGIA CHADEMA KANDA YA KUSINI ILI TUWEZE KUSHINDA UCHAGUZI MKUU OCTOBA 2015

NAMNA YA KUCHANGIA
1. Piga *150*60# (AirtelMoney), *150*00# (M-Pesa) na *150*01# (TigoPesa)
2. Chagua na. 5 LIPIA BILI (AirtelMoney), na. 4 MALIPO (M-Pesa) na Tigopesa
3. Chagua na. 3 Namba ya Kampuni 213040 AirtelMoney, na. 2 Namba ya kampuni 213040 M-Pesa na na. 2 namba ya kampuni 213040 TigoPesa
4. Weka kiasi cha pesa eg. 10000
5. Namba ya kumbukumbu ni KUS
6. Weka namba ya siri
7. Tuma mchango wako.
Tunashukuru kwa mchango wako
Kwa mawasiliano zaidi piga 0787158788/0759158787 (Mratibu wa Kanda)

boresheni saccoss yenu
 
Acheni mambo ya ajabu matumizi ya RUZUKU ni ya hovyo hovyo halafu eti mnataka kuwachangisha walala hoi, mfano jana hapa kawe Redbrege yenu na sare za hovyo hovyo imelegeaaaa
 
CHAGADEMA kusini haipo!

Huku CUF Yatosha!
 
Acheni mambo ya ajabu matumizi ya RUZUKU ni ya hovyo hovyo halafu eti mnataka kuwachangisha walala hoi, mfano jana hapa kawe Redbrege yenu na sare za hovyo hovyo imelegeaaaa

Nyie tunawapuuza tu huku tukifanya yetu
 
tuwekeeni na akaunti za benki. maana huku kusini ccm imegeuza reserve ya kura. hatutakubali safari hii kamwe.
 
CHAGADEMA kusini haipo!

Huku CUF Yatosha!
Utashangaa CHADEMA ikashinda zaidi kuliko hiyo CUF. Lakini si kweli kwamba CHADEMA hakipo. Mfano Mtwara Mjini CUF imepata mitaa 36, CHADEMA imepata 16 na NCCR imepata 5. Nachingwea CUF imepata vijiji 13, CHADEMA imepata 12, CUF kina Diwani 1 na CHADEMA Madiwani 4. Nanyumbu CUF imepata vijiji 9, CHADEMA imepata vijiji 6, CUF kina Diwani 1 na CHADEMA Diwani 1.
 
Daini Ruzuku iwafikie huko, hamna haja ya kulia lia njaa, wakati Mzee Slaa na jopo lake pale "UFIPA" wanaogelea kwenye dimbwi la noti za Ruzuku!
 
CDM na UKAWA msikatishwe tamaa na watu wa L, mumba, huo ni mkakati mzuri sana kwa wazalendo wa Taifa hili tajiri za rasirimali kutoka kwa MOLA lakini wananchi wake ni maskini wa kutupwa. Ahsante wapo wengi watakao jiltolea kuwasupport kwenye harakati hizi zenye baraka za Muumba wetu.
 
Ahsante Wabogojo
 
Kana kanda ya kusini na kanda ya nyanda za juu kusini. Nataka uhakika, ni ipi kati ya hizo?
 
Makamanda amkeni....95% ya ruzuku inabaki HQ...5% inakuwa shared across the counrty...Mbowe noma
 
Kana kanda ya kusini na kanda ya nyanda za juu kusini. Nataka uhakika, ni ipi kati ya hizo?
Kanda ya Kusini inaundwa na Mikoa ya Lindi na Mtwara na Kanda ya Nyanda za Juu Kusini inaundwa na Mikoa ya Ruvuma, Njombe, Iringa, Mbeya na Rukwa
 
Makamanda amkeni....95% ya ruzuku inabaki HQ...5% inakuwa shared across the counrty...Mbowe noma
Mtu mwenye akili na anayetafakari vizuri hawezi kuandika uzi kama wako.
Hebu tazama, CHADEMA tumenunua pikipiki mpya toka kiwandani kwa order maalum jumla ya 378. Zimegawanywa Majimbo yote nchi nzima. Magari kama unavyoona namba zake yakipita utakuta 87,.......102 n.k . Watanzania wanajua kazi tunazozifanya.
 
CDM ni chama ya kaskazini ninyi wa kusini .. Mtakufa na njaa tu
Wenzako waliokuwa na mawazo kama yako hasa kabla ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa siku hizi hawatoi hoja kama hizi. Mfano Mtwara Mjini CUF imepata mitaa 36, CHADEMA imepata 16 na NCCR imepata 5. Nachingwea CUF imepata vijiji 13, CHADEMA imepata 12, CUF kina Diwani 1 na CHADEMA Madiwani 4. Nanyumbu CUF imepata vijiji 9, CHADEMA imepata vijiji 6, CUF kina Diwani 1 na CHADEMA Diwani 1.
Sumbawanga Mjini CHADEMA kimepata Mitaa 102 kati ya 165. Kanda ya Serengeti (Shinyanga, Simiyu na Mara) CHADEMA kimeshinda kwa 48% katika Mitaa na Vijiji vyote kwa ujumla. Je, huko kote ni Kaskazini?
 
Back
Top Bottom