Changanya Ladha by Joh Makini

Changanya Ladha by Joh Makini

NGAYANIMO

Member
Joined
Feb 17, 2026
Posts
36
Reaction score
55
1774244399131.jpg
JOE MAKINI - CHANGANYA LADHA.

Namshukuru Mungu Leo Me Niko hapa , Number One Hip hop star sio Tu Raper/

The "Mcee" kwenye Em - cee , Wanakubali kwa hiyari sio kwamba Na force/

J.O.H M.K.A Ena ndani ya Sound za " Mo" Records/

Ninapotia Team Wana Disappear/ Sio Makosa Yao wananihofia Jeah..!!

Vocal Zangu zinangusa Hata Wale , Ki Umri Wa kubwa ki Fan hawaja Barehe

Niko Hapa Kwa Ushindi So Sare , Nina Hustle Ni Make na Kisha Ni Starehe/

Mapinduzi ni Wazi Tayari Anzia Uandishi , Mistari Mpaka hizi Flow/

Leteni Dili za Maana msianye Sababu Mchongo uliobaki Ni ku Make Doo/

Sio Tu leo watu Waangalie na Kesho , Acheni michosho, Acheni minyenyusho/

Leteni Hizi Mambo na Commercial Na Hard Core , Watu Tutaingia Ngizani Waaze kuwaumiza Makoo
 
Back
Top Bottom