Changamsha ubongo

semunyu

Member
Joined
Mar 20, 2013
Posts
10
Reaction score
4
mwalimu aliuliza swali darasani akasema kama jana ingekuwa kesho basi leo hii ingekuwa ijumaa je mwalimu aliongea hivyo yeye akiwa siku gani
 
mwalimu aliuliza swali darasani akasema kama jana ingekuwa kesho basi leo hii ingekuwa ijumaa je mwalimu aliongea hivyo yeye akiwa siku gani
jumapili
 
Mwalimu aliongea kauli hiyo siku ya jumapili.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…