1.Maafa ya tetemeko:- Mpaka waathilika wa tetemeko mkoani Kagera wapo nje hawajapewa msaada wowote cha kushangaza Serikali inapeleka Unga na Vimchele badala ya kutoa msaada wa Cement, Mchanga,Mabati n.k sasa wanatoa vitu ambavyo ndugu zetu hawaviitaji kabisa na wala sio msaada kwao. Nashauri PMJ avae viatu vya wengine najua yeye anakura kuku kwa mlija anakula bure, analala bure kilakitu bure kazi ni kutoa matamko ya kikatili. Mishahara haijafanyiwa kazi vimshahara vyenyewe kidunchu nashauri tuongoze kwa ofu ya mungu na tujaribu kuvaa viatu vya wengine hususani ndugu zetu wenye shida.
2. Uhakiki wa watumisha:- Nashangaa kuona ili zoezi linachukua mda mrefu bila kujali kuwa wapo watumishi waliopandishwa vyeo tangu mwezi wa tano mwaka huu hadi sasa wanapokea mshahara wa cheo cha zamani kwakweli huu ni ukatili ikumbukwe kuwa kwa mtumishi mwaminifu mshahara hautoshi kupata ata mlo mmoja wala kupeleka watoto shule na hii yote inasababishwa na ubinafsi wa watawala kwakuwa wao wana mishahara mikubwa, wanakula bure, wanalala bure, wanatibiwa bure, wanasafiri bure, watoto wao wanaishi kwa raha kama vile wapo mbinguni na wanawadanganya watu eti wao ni wachamungu.
4.Kuamia Dodoma:- Ili jambo naliafiki kama lingefanyika kwa kuzingatia ushauri wa wachumi na watu mbalimbali, mfano unaposema Serikali iamie Dodoma kwa awamu tofauti huu sio uwamuzi mzuri kwakuwa endapo utasema awamu ya kwanza iwe ya Mawaziri na Makatibu Wakuu ujue waliobaki nyuma hawanakazi kwakuwa mtendaji mkuu wa Wizara ni katibu Mkuu sasa katibu Mkuu na waziri wakitangulia Dodoma hawa wanaobaki nyuma watasimamiwa na nani pia kuna suala la ghalama kwakuwa zitaibuka safari nyingi kati ya Dodoma na Dar hivyo kusababisha garama zisizo za lazima.
USHAURI:
Serikali itulizane kwa kipindi cha miaka 4 wajenge ofisi za serikali na nyumba za watumishi baada ya kukamilisha kabisa miundombinu yote ndipo Serikali yote kwa pamoja waende Dodoma kwa kuwa sioni athari yoyote serikali kama hisipoamia leo tuache kukulupuka.
IKUMBUKWE KUWA MPAKA SASA WAZIRI MKUU PEKEE NDIYE MWENYE MAALI PA KUKAA SASA NAJIULIZA HUU SIO UBINAFSI WATUMISHI WENGINE WANAPOIAMBIWA NENDENI DODOMA WANAENDA KUKAA WAPI NA KWA GHARAMA ZIPI? NAIOMBA SERIKALI ITIZAME ILI KWA KUZINGATIA KUWA FAMILIA YA WATU 6 NI KUBWA KUIKURUPUSHA HASA KWA WATUMISHI WA MISHAHARA YA CHINI AMBAO NDIO WALIOWENGI. NA IKUMBUKWE KUWA WATUMISHA WA UMMA KARIBU 90% WAMEISHAKOPA BENKI WAKAJENGA VIBANDA VYAO VYA KUJISTILI SASA AKIENDA DODOMA ATAWEZAJE KUMUDU GHARAMA ZA KUPANGA? TAFADHALI SERIKALI MSIWE KAMA NDULI IDD AMINI WA UGANDA PANGENI MAMBO KWA KUZINGATIA UTU WA WATU WENGINE MSIWE KAMA MATATAWALA MILELE
NAWASILISHA