Wabongo walivyo wasumbufu utajutaMm nataka wapangaji walipe mwezi mmoja moja MTU kwenye mshahara anapokea kwa mwezi kodi alipe kwa mwaka si unatengeneza wezi
Sent from my itel it1516 Plus using JamiiForums mobile app
Huo ndio uhalisia wa hali ya soko la Mali isiyohamishika (Real Estate) kwa sasa mkuu.Sehemu nyingine wapangishaji wanalalamika biashara imekuwa mbovu
Yeah ni kweli mkuuHuo ndio uhalisia wa hali ya soko la Mali isiyohamishika (Real Estate) kwa sasa mkuu.
Tembelea tu Masaki and the likes utaona ni jinsi gani apartments ziko wazi.
Kitu cha pili wateja wengi Wameshindwa kutekeleza wajibu (default) wa mikopo, kwa hiyo mabenki mengi yamezitwaa nyumba. Kwa mfano kuna jengo moja pale Upanga ilipo TSN market (njia ya kuingilia Muhimbili hosp) kuna units nyingi sana Exim Bank imezitwaa kutoka kwa wateja.
Mimi binafsi Naunga mkono huu mwenendo ili Watanzania tuweze kumudu kupanga nyumba/apartments kwa bei ya uhalisia wa soko. Maana ilikuwa wendawazimu na mabei ya $$$$$$$.
Pia hili suala la kulipa Kodi kwa mwaka au miezi Sita nadhani serikali kupitia Wizara husika inatakiwa kulipitia upya. Nchi jirani Kodi wenzetu wanalipa kwa mwezi.
Watu ambao siyo watanzaniaHivi wanaojenga apartments wanalenga watu gani hasa?
Ongezea hapo na hiziKero kubwa:
1.Kupiga chabo (Hasa kama Kuna mdada /mazuri mwenye mkia lawama.
2.Kukapa gogo bila ku cchoo esp vyoo vya kushare /public toilets. Ukiamka asubuhi wewe wa kwanza lazima ukute kitu kina Elea juu juu. Na ukiangalia Nyumba nzima ni watu wazima wenye heshima na staha zao. Unabaki kustaajqbu tu na kufyonza mdomo.
3.Kujikausha kununua Umeme wakat ni zamu yako au hujalipa.
4. Kukwepa kulipa hela ya taka taka na ulinzi shirikishi , wakat kila siku unaenda kupata service husika.
5.Kupangiana muda wa kurudi na kufungua mpango wa nje...
6.Kuishi "stoo" na familia nzima afu ukionekana nje Bonge la braza meni au sista duuu...
7.Kununua flat screen na kutucheka wenye chogo.
8. kufungulia mziki kama Uko disco....
Ntakuja kuendelea.