Changamoto za wapangaji

Changamoto za wapangaji

Magoya2000

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2017
Posts
641
Reaction score
1,265
Habari wanajamvi,

Kutokana na ugumu wa maisha kwa sasa wapangaji wengi wanashindwa kulipa kodi zao kwa wakati. Allowance hamna hivyo wanashindwa kubudget mishahara. Pendekezo! Ni heri mwenye nyumba wawe wanachukua kodi za mwaka mmoja na kuendelea ili kupunguza usumbufu.

Unakaribishwa mawazo yako!

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Mimi naona ss wapangaji nibora tulipe kodi ya nyumba kila mwezi, maana hata serikali inalipa mshahara kila mwezi, wenye nyumba kutulazimisha mikataba ya miezi sita wakati ss tunalipwa mishahara kila mwezi c sawa.

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
 
kuna kaukweli flani, NILITAKA KUJUA KAMA jamaa alifanya kautafiti. Ila nyumba za uswahilini wanawake wanaogopa. Mfano woga wa kubakwa kwani mida hiyo huwa na kanga na kakaptula tu, sasa kutoka nje
sio kubakwa..wanaogopa wachawi..we mkojo ukubane saa nane usiku utatoka peke ako?
 
Kero kubwa:
1.Kupiga chabo (Hasa kama Kuna mdada /mazuri mwenye mkia lawama.
2.Kukapa gogo bila ku cchoo esp vyoo vya kushare /public toilets. Ukiamka asubuhi wewe wa kwanza lazima ukute kitu kina Elea juu juu. Na ukiangalia Nyumba nzima ni watu wazima wenye heshima na staha zao. Unabaki kustaajqbu tu na kufyonza mdomo.
3.Kujikausha kununua Umeme wakat ni zamu yako au hujalipa.
4. Kukwepa kulipa hela ya taka taka na ulinzi shirikishi , wakat kila siku unaenda kupata service husika.
5.Kupangiana muda wa kurudi na kufungua mpango wa nje...
6.Kuishi "stoo" na familia nzima afu ukionekana nje Bonge la braza meni au sista duuu...
7.Kununua flat screen na kutucheka wenye chogo.
8. kufungulia mziki kama Uko disco....

Ntakuja kuendelea.
 
Sehemu nyingine wapangishaji wanalalamika biashara imekuwa mbovu
 
Back
Top Bottom