kilaza Sammy
Member
- Oct 5, 2010
- 13
- 4
mkuu ... hebu nijuze zaidi kuhusu mung'unya(butternut squash) -bupu
nashukuru
market nategemea kuuza kisutu market na kuhuisha potential customers nipo kwenye mchakato wa kuanza mazungumzo na shoprite chains.
mwendo wastani dk 30 or so barabara sio tarmac so it varies ni njiapanda ya Kipalang'anda unaingia ndani.
mkuu ....nashukuru kwa kunifahamisha .......nimeshayafahamu sasa .... umbo lake lipo kama kibuyu...! isn't it...?
i like your marketing strategies ....kuna big supermarket chain kutoka kenya Nakumat Supermarket wanaingia rasmi tanzania na wanafungua rasmi the first branch in moshi ... nadhani hii pia ni potential target market ..... i am sure uki capitalize kwenye kupata local market at the end unaweza kupata export market .... ninashauri sana kwamba lengo kuu liwe ni export au unasemaje...?
naomba unijulishe pia je kilimo cha zao hili la mung'unya (butternut) kinahitaji irrigation au ni mvua za misimu ... ninashamba hekari 18 lenye tittle lipo moshi three kilometers from dar main road ... the level of water table is good..... unaweza kunishauri nifanye nini... kilimo au mifugo ...currently ninalima mahindi ... je zao hili linaweza kufaa
i wish you all the best
huko bupu ekari moja inauzwaje? ina vary kuanzia kiasi gani

Naomba kufahamu hiki kilimo cha butternut kinahitaji matuta au hata kwenye tambarare yaani bila matuta kinafaa?Ndugu ahsante, Mung'unya linaloitwa butternut squash ni aina ya boga zenye umbo dogo na rangi kama ya machungwa. Yapo familia moja inaitwa "cucurbits" pamoja na matango,tikiti,maboga ya kawaida,n.k. faida zake ni kwamba huzaa sana kuliko boga za kawaida na sehemu inayoliwa ni kubwa (minofu).
Bupu ni kijiji wilayani mkuranga,nice time.