Tetesi: Changamoto za usafiri wa mwendo kasi

Entreprenuare

JF-Expert Member
Aug 24, 2019
1,616
1,714
Tunao chukizwa na huu mfumo mpya wa kupanga foleni kupanda gari za mwendo kasi, naomba tujuane..

Maana tunapoteza sana mda kwenye foleni, na gari zenye ni chache sanaaa.

Huwa napoteza si chini dk 45 kila siku, kwenye hizi foleni..

I hate the whole system brought by Covid 19..
 
siungi mkono hoja, ww huoni unafuu, wizi, harufu mbaya majasho kelele bugdha huoni vimepungua. huduma yoyote lazia upange foleni, hata msosi wa kwenye shughuri unapanga foleni sema upatikane mfumo rafiki , may be coupons na kadhalika
 
Back
Top Bottom