Shoga angu subiri uendelee kuwa nae halafu uje kujua alikua anakudanganya na ushafall in love.
Niko kwenye situation hiyo na nampenda huyu kaka kufa ila ana gf na alinidanganya he's single. Nimekuja shtuka ana gf na anaishi nae jamani. Napambana kumuacha ila nashindwaaa.