Gustavo Gaviria
JF-Expert Member
- Nov 19, 2018
- 633
- 1,119
Ahahahahaha kwamba smart TV ni mbususu?Mkuu hili jukwaa la mapenzi, hii mada Haifai huku. Au pengine uwe umetumia tafsida
Huyo smart tv itakuwa ni mpenzi wako ambaye unataka kufunga naye ndoa? Maana kama umeamua kutuzunguka halafu tujitafsirie wenyewe.Wakuu kwema?
Ninahitaji kuchukua Smart TV, aina ya Star X inch 43
Ninaomba ushauri kuhusu ubora wake na changamoto zake na namna ya kuzitatua, kwa maana za kusikia ni kwamba smart tv huwa zinastack inapoanza kuwaka, ja ninahitaji kupata ukweli, ili niwe na ufahamu mzuri ninapokwenda kununua...maana kahela kangu ka kujichanga sana.
mchango wenu muhimu sana.
🤣🤣🤣🤣Mkuu vumilia tu.
Ndoa ndo zilivyo.
Ipo vizuri kabisaMods nimekosea jukwaa, naomba mhamishe kwenye jukwaa la Tech.
Wadau kwema?
Ninahitaji kuchukua Smart TV, aina ya Star X inch 43
Ninaomba ushauri kuhusu ubora wake na changamoto zake na namna ya kuzitatua, kwa maana za kusikia ni kwamba smart tv huwa zinastack inapoanza kuwaka, ja ninahitaji kupata ukweli, ili niwe na ufahamu mzuri ninapokwenda kununua...maana kahela kangu ka kujichanga sana.
mchango wenu muhimu sana.
nimekosea jukwaaMkuu hili jukwaa la mapenzi, hii mada Haifai huku. Au pengine uwe umetumia tafsida