n00b JF-Expert Member Joined Apr 10, 2008 Posts 1,028 Reaction score 2,731 Jul 30, 2026 #1 Inaonekana leo Julai 30 mfumo wa SelcomPesa una muskeli. Kuna wengine mnapata changamoto hii? Ni pale inapokuwa ushafika counter unatakiwa kulipia na mfumo ukakuumbua. 🤭
Inaonekana leo Julai 30 mfumo wa SelcomPesa una muskeli. Kuna wengine mnapata changamoto hii? Ni pale inapokuwa ushafika counter unatakiwa kulipia na mfumo ukakuumbua. 🤭
adrenaline JF-Expert Member Joined Jun 17, 2015 Posts 4,590 Reaction score 7,769 Jul 30, 2026 #2 Sio hao Makajanja mengi..tu Yas wenyewe wanajamba jamba
n00b JF-Expert Member Joined Apr 10, 2008 Posts 1,028 Reaction score 2,731 Jul 30, 2026 Thread starter #3 adrenaline said: Sio hao Makajanja mengi..tu Yas wenyewe wanajamba jamba Click to expand... Wamerejesha huduma sawa. Hizi mambo zinahitaji stable infrastructure haswa
adrenaline said: Sio hao Makajanja mengi..tu Yas wenyewe wanajamba jamba Click to expand... Wamerejesha huduma sawa. Hizi mambo zinahitaji stable infrastructure haswa