Changamoto za Nissan Serena

Administer

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2020
Posts
2,633
Reaction score
2,378
Habari zenu marafiki.Nina mpango wa kuagiza gari aina ya Nissa Serena toka Japani.Kutokana na uzoefu wenu naomba mnipe Changamoto za gari hii.Hiyo gari ina cc1990
 
Mwaka upi? Me nina experience na 2012.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…