Changamoto za ndoa .

Jitahidi usome kwa umakin nilichouliza.nisingekuwa mvumilivuwiki ya kwanza tu ingenishinda ndoa lakin sasa miaka minne
Miaka mi4 unajiona tayari umevumilia...?
Watu wanaishi ndoa za matatizo milele wewe minne tuu, acha kulialia mama ulifanya mwenyewe makosa ya kuolewa na huyo jamaa jitahidi kumvumilia umbadilishe kuachana utawapa tabu tuu wanao kama unao.


Ndoa za kislaamu nazo zinatabu yake kweli kitu kidogo talaka talaka tuu na hao bakwata baada kutuombea tuepukane na watu wasiojulikana wanasikiliza upambavu huu.

Matapishi tu ya mumeo unalalama, Kuna wanawake waume zao walipatastroke wamepalalaizi wanachamba hadi kinyesi wewe ungeweza kweli...?
 
pole sana mamy ! tupo team kubwa ! kwakweli inachosha sana mwanaume anayekunywa had anajitapikia ! nakushauri km mdogo wangu fanya haya yafuatayo ;
mpotezee kama huna kipato chchte jitahd uanze kufanya vibishara vidogo dogo uwe na visent vyako najua wanawake weng hatuwez kusave ingia kikoba haraka sana uwe unatupia senti zakoo

usiongeze kuzaa nae mamy utasumbuka tu(kwanza naelewa huna hisia mpka hapo ulipo)

jitume kadri uwezavyo utafte furaha yako mwenyewe !usikae ndan unanung'unika na kulia kisa mume ana matabia ya ajabu , jipe nafasi yako wewe mwenyewe !(me time) ! jipende, jiweke msafi pika aje ale then endelea na maisha yako
marufuk kbs kumpa pesa mumeo wanatiaga huruma sana wakiwa hawana pombe kichwan km una roho yahuruma km yangu mama marufuku kila mtu apambane na maisha yake !

PIA TEGEMEA KASHFA NYINGI SANA KUTOKA HUMU



ukishindwa mama toka tu wala wewe sio wa kwanza !
 
Wee ndiyo unayepitia hayo magumu...

Maamuzi unyao wewe.. Kusuka au kunyoa...


Cc: mahondaw
Mm sojaomba ushauri wa kutatua tatizo lipo hapo kwenye ndipo nilipouliza mm
ninachofaham hata akisema kwa mdomo nimekuacha kuanzia leo sio mke wangu mama hiyo ni talaka tayari

na kama mliwekea hayo makubaliano hamna ndoa hapo talaka n hayo makubaliano kama mliyowekeana
Angalau ww umenielewa nilichoongelea.
 
Mumeo ana umri gani?
 
Usimfutilie in short jitahidi kumsahau yani mchukulie Kama hayupo vile coz mwanaume wa hivyo hata ile night fight hawezi hata maendeleo huwa Havana watu wa hivyo chamsing kuwa bize na kazi zako na mtt na marafiki ikiwezekana na mchepuko yy mpotezee it works

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mumeo ana umri gani?
35
 
Poleni aisee umeandika kwa hisia hadi nimetoa chozi, nyie ni wanawake wa nguvu mume wa ivo nahisi siwezi kumvumilia ningeshamuacha zamani, hongereni sana sweetheart


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nakushauri uwe mstahamilivu, usiharakishe kudai Talaka ! Mpende toka Moyoni Mwako , kuwa Mtu wa kufanya ibada na dua, jaribu kuona mazuri Yake zaidi, mfano Je anakunza Wewe na mtoto wenu Yani Je anawatunza Kama familia? Mkiumwa kwa mfano anawapa hela ya matibabu Au bima Yake? Je mahitaji ya msingi anawapatia? Kwa umri wako sizani Kama unafanya kazi Kama umeajiriwa basi ni vizuri ukiona yana kuzidi uondoke! Ila kusema ule ukweli wenye umri Kama wako pia huwa wanahamaki Kwa haraka, ukiweza kustahamili baada ya miaka kadhaa utakuja kujishangaa jinsi unavyo react sasa Kwenye hayo maswala! Kuishi na Mume kazi mdogo wangu ! Samahani Kama nitakuwa nimekukwaza mwaya!
 
Vizuri uwafate mashekh wakushauri kwa kuwa mara nyingi mashekh ni wachaMungu na wachaMungu hupewa HEKIMA. Kwa ushauri wangu muombee duwa ALLAH amjaalie aache pombe, ukiona bado hajabadilika mwambie akupe talaka moja, nenda kwenu kabla ya miezi 3 kuisha Mtajijua kama mtaweza kuishi pamoja au La.
 
Ikiwa yote hayo yameshindiakana utakuwa huna budi ili kuiwasilisha kesi hiyo yako katika kikao ambamo utakuwepo wewe, mumeo, mwakilishi wako na wake ili kujadili tatizo hilo kubwa mlilo nalo. Wawakilishi hao ambao ni wazazi wenu na jamaa zenu wa karibu wenye busara na kutaka kutazama haki. Ikiwa wawakilishi hao watakuwa na ikhlaasw basi bila shaka ufumbuzi kwa tatizo hilo utapatikana.

Ikiwa hilo halikufanikiwa basi itabidi upeleke malalamiko yako kwa shaykh mwadilifu au kwa Qaadhi ikiwa yupo. Mahakimu hawa watasikiliza pande zote mbili bila ya upendeleo wowote na kuja na uamuzi. Kwa ajili ya maksoa aliyonayo mumeo atapatiwa muda wa kujirekebisha, ikiwa atajirekebisha itakuwa kheri na lau sivyo itabidi ndoa hiyo ivunjwe.

Ikishindikana katika njia zote hizo kutakuwa hakuna tena sababu ya wewe kuishi na mwanamme huyo na Qaadhi atakuwa ni mwenye uwezo wa kuivunja ndoa yenu na hilo ndilo litakalokuwa kheri kwako hapa duniani na Kesho Akhera.

ni copy sehem fulan
 
Inz
Inshalllah ushauri mzur sana na naiman huu ushaur napaswa kuufanyia kazi ahsante
 
H
hapana nashukuru sana nimekueleWa
 
Hapo hamna ndoa sialikutamkia kam akiirudia pombe si mumeo na akairudia pombe talak imeswih
 
Zipo bana, jaribu kuulizia humu humu jf hutatoka mtupu. Kuna mpaka waganga wa kienyeji humu, cc mshana jr hahahahaaa...
Mie nilisikia unaimiminia ile pombe maziwa ya mama anaenyoshesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…