Binti zanda
Member
- Sep 11, 2017
- 39
- 38
Jitahidi usome kwa umakin nilichouliza.nisingekuwa mvumilivuwiki ya kwanza tu ingenishinda ndoa lakin sasa miaka minneNdoa uvumilivu mama,
Talaka sio solution alafu hiyo tabia ya ulevi ulimkuta nayo au ameanza baada ya kuingia kwenye ndoa...?
MmojaPole sana
Mna watoto wangapi?!mambo haya huwa hayana ushauri kwa sababu mwisho wa siku niwewe ndio mwenye maamuzi ya mwisho
Mmoja
Nimeshatumia sana hizo dawa nimetumia gmitishamba na za makombeKuna wanawake wavumilivu mashaallah! Ningekushauri udai talaka lkn jaribu kuipigania ndoa yako kwa kutafuta dawa za asili za kuachisha mtu pombe. Mi sijui zinapatikana wapi ila naskia ziko very effective..mlengwa hatogusa teeeeenaa pombe then utaona km mtakuwa na amani basi maisha yaendelee na msahau yaliyopita!
Ndoa si ndoano, ndoa ni nzuri km wote mkijua nn maana ya ndoa kwa watu wawili waliotoka familia tofauti na malezi tofauti hata km ingekuwa ww kila mmoja ana kutana na matatizo tofauti. Ni kuvumilia na kuomba Mungu tuMmmh ndoa ndoano