Buzi Maarufu JF-Expert Member Joined Oct 30, 2019 Posts 422 Reaction score 330 Nov 25, 2019 Thread starter #21 mahondaw said: Kuna watu wana gubu jamani Cc Smart911 Click to expand... Wataje
Bazazi JF-Expert Member Joined Aug 18, 2008 Posts 2,806 Reaction score 3,524 Nov 25, 2019 #22 . Miss Natafuta said: Jamani kuna wanawake wana midomo michafu. Sasa inahusu nini? Mimi ni bikra, sina ex, sijawai kugegedwa ila siji na godoro. Click to expand... Sijui kwanini nakupenda Visa na mikasa yako tu Yanifanya nikondeane Kisebusebu na kiroho papo Wivu umetamalako walah Wanitesa mtoto wa kike Pande zipi za bongoland! Wapatikana ewe binti Bazazi
. Miss Natafuta said: Jamani kuna wanawake wana midomo michafu. Sasa inahusu nini? Mimi ni bikra, sina ex, sijawai kugegedwa ila siji na godoro. Click to expand... Sijui kwanini nakupenda Visa na mikasa yako tu Yanifanya nikondeane Kisebusebu na kiroho papo Wivu umetamalako walah Wanitesa mtoto wa kike Pande zipi za bongoland! Wapatikana ewe binti Bazazi