Buzi Maarufu
JF-Expert Member
- Oct 30, 2019
- 422
- 330
Ruksa mwanaume kumshauri mvulana.Wavulana wengi sana bado, huenda ww utaishi kama mvulana maisha yako yote, wanaume tuko wachache sana.. Acha ujinga
Utasema haja kubwa inapitia midomoni.Jamani Kuna wanawake wana midomo michafu.
Sasa inahusu nini? Mimi ni bikra .sina ex sijawai kugegedwa ila siji na godoro
Pamoja na kuchunwa lakini katika hili unaweza ukanishauri mkuuPole sana Buzi hapo hakuna namna wee chunwa tu mpaka ngozi yote iishe
Naogopa hata kukaa nimeufyata tu, najua nikijifanya kuhoji linaweza kuja zito zaidi ya hili.Kuna ujumbe kakufikishia jaribu kukaa nae myamalize
Nilimjibu tofauti, nimemwambia la kwangu mmelalia wawili tu, tukaishia hapo.Mwambie Mpe langu walilolalia wanawake zangu Mia 7,
Sawa tu mkuuWahuni wanasema wewe ni dume
Mengine yanaumiza sana mkuu,nimekuelewa lakiniManeno mengine puuzia tu co kila kitu cha kutilia maanani....
Umenitisha mkuuKuna nyuzi kibao humu zinazohusu 'single parent' yaani kuoa mama mwenye mtoto wa mtu mwingine zitafute usome uongeze maarifa, ila kwa ufupi ni kwamba oa/ishi nae at your own risk!
Katika harakati za kutafuta maisha unakutana na mwanamke, mnaanzisha mahusiano na hatimaye mnaamua kuishi pamoja kama mke na mume. Llakini kabla hamjaanza kuishi pamoja, mara moja moja ulikuwa unaenda nyumbani kwake unakula msosi na tunda na kurudi kwako.
Kwahiyo, baada ya kuamua kuishi pamoja, mwanamke anahamia kwako na vitu vyake vyote: meza, godoro n.k, na maisha yanaendelea. Baada ya mwaka mmoja mnatembelewa na mama mkwe, sasa huyo mwanamke wako anamwandalia malazi mama mkwe lakini cha kustaajabisha anamtandikia mikeka tu bila godoro; unamuuliza mbona umefanya hivyo hali ya kuwa hapa ndani kuna godoro ambalo ulikuja nalo?
Baada ya kumuuliza hivyo anakujibu: "Siwezi kumlaza mama yangu kwenye godoro ambalo wewe Rajabu na wengine mlishalala". Unamwambia hao wengine wataje kwa majina basi kama ulivyonitaja mimi, anasema "Nakwambia siwataji majina, ni wote unaofahamu nilikuwa nao"
Anakwambia hivyo wakati anajua kabisa kwamba kuna watu wake unawafahamu (wawili kazaa nao). Je, kama mwanaume utachukuwa maamuzi gani? Pia, nakuuliza wewe mwanamke unayesoma uzi huu. Je, ni sahihi kumtamkia hayo mtu wako ambaye mnaheshimiana na ameamua kuishi na wewe pamoja kwamba anajua wewe ulikuwa malaya, au ukimtamkia hivyo unakua unaashiria nini?
A: Umemchoka?
B: Unaona fahari kuwa na wanaume wengi ambao yeye mtu wako anawafahamu?
Mkuu kama ukisikia/kutajiwa majina ya waliompitia mwanamke wako unahemuka kiwango hicho tafute aliye bikira. kweli nimeamini ule uzi uliowahi pita hapa jukwaani kuwa ukioa asiye bikira ni umeoa mke wa mtu ulikuwa una wafuasi wengi japo wengine walijificha gizani kama wewe.Katika harakati za kutafuta maisha unakutana na mwanamke, mnaanzisha mahusiano na hatimaye mnaamua kuishi pamoja kama mke na mume. Llakini kabla hamjaanza kuishi pamoja, mara moja moja ulikuwa unaenda nyumbani kwake unakula msosi na tunda na kurudi kwako.
Kwahiyo, baada ya kuamua kuishi pamoja, mwanamke anahamia kwako na vitu vyake vyote: meza, godoro n.k, na maisha yanaendelea. Baada ya mwaka mmoja mnatembelewa na mama mkwe, sasa huyo mwanamke wako anamwandalia malazi mama mkwe lakini cha kustaajabisha anamtandikia mikeka tu bila godoro; unamuuliza mbona umefanya hivyo hali ya kuwa hapa ndani kuna godoro ambalo ulikuja nalo?
Baada ya kumuuliza hivyo anakujibu: "Siwezi kumlaza mama yangu kwenye godoro ambalo wewe Rajabu na wengine mlishalala". Unamwambia hao wengine wataje kwa majina basi kama ulivyonitaja mimi, anasema "Nakwambia siwataji majina, ni wote unaofahamu nilikuwa nao"
Anakwambia hivyo wakati anajua kabisa kwamba kuna watu wake unawafahamu (wawili kazaa nao). Je, kama mwanaume utachukuwa maamuzi gani? Pia, nakuuliza wewe mwanamke unayesoma uzi huu. Je, ni sahihi kumtamkia hayo mtu wako ambaye mnaheshimiana na ameamua kuishi na wewe pamoja kwamba anajua wewe ulikuwa malaya, au ukimtamkia hivyo unakua unaashiria nini?
A: Umemchoka?
B: Unaona fahari kuwa na wanaume wengi ambao yeye mtu wako anawafahamu?
Huo ndio ukweli mkuu ,aliyetobolewa na mwenzako ukamuoa wewe basi wewe unakuwa mumewe wa pili,na wakikutana lazima wakumbushie tuMkuu kama ukisikia/kutajiwa majina ya waliompitia mwanamke wako unahemuka kiwango hicho tafute aliye bikira. kweli nimeamini ule uzi uliowahi pita hapa jukwaani kuwa ukioa asiye bikira ni umeoa mke wa mtu ulikuwa una wafuasi wengi japo wengine walijificha gizani kama wewe.