Vocal Fremitus
JF-Expert Member
- Oct 20, 2016
- 1,353
- 6,981
Mwanangu haikuwa inafanya kazi aisee. Ilikuwa ni kama siku ya kufa nyaniKhs Ukungu button ya defrost Kwny Gari huifahamu mpk ufute kioo kwa ndani?
Hongera mzee. Ila kwa usawa huu pesa ilivyokuwa ngumu sitamani tena hizi rare cars. Nitakomaa na tako la nyani tu.Mi changamoto niliyoipata kwa mazda cx 5, nikioo cha mbele nilitafuta sana aisee, baadae nikawa nimepata kioo pale mitaa ya gerezani kwa jamaa mmoja hv muhidi halafu bei ya ikawa kironga 400k tu nikaweka kipya maisha yameendelea
Ukweli naenjoy sana kuwa unique tofauti na kufanana na wengine, kuna muda nikipata watu wanazani gari ya ubalozi kwa unyama ilionao, tusiogope kuwa wa tofauti
Hahahaaaa inaelekea mwamba alikua anawaoshea saaana na Ford yake bila kujua anatembea na chuma ulete. Mimi naona kibongo bongo bado tuna mda mrefu sana mpaka tuweze kua na variety ya spares za magari yote madukani kama ilivyo Nairobi. Gari nyingi unique upatikanaji wa spare madukani ni tatizoKuna mwamba mmoja mzee wa mashauzi classic sana yupo mji kasoro Meli alinunua ka-ford focus kake miaka kama 5 iliyopita hv,kanafanana fanana na Nissani xtrail hv,kakaja kufa sensa ya kwenye switch,akiiwasha gari inawaka kidogo halafu inazima,
Mwamba kazungurukaaaaaaaaaaaaaaaaaa weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee,mwisho akaambiwa atachongeshewa kwa laki 9 kwani maduka ya spea ya Dar,Moro na Chuga kote alikosa.
Ikabidi afuate ushauri wa kuchongesha kwa vishoka wa mjini,alivyochongesha sasa kuijaribu kagari kanawaka halafu hakadumu hata dakika moja kanazimika,laki kweli si pesa,lak9 ndio ikawa ndio imekwenda hiyo.
Akampata muhindi mmja akamwambia waifungue hiyo switch orijino waitume kiwandani China wakaifyatue nyingine,gharama yake akatajiwa Mil3,amesanda amelifunika na turubai gari lake akiwaza hiyo mil 3 anaweza kabisa kununua kavitz OLD model cha kitaa na akavimba vizuri tu.
UNIQUENESS ni NZURI ILA UWE NA MAPENEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
Hahaaaaa,hakika aiseeeeeeee,sasa hv akiliangalia gari lake anabaki kusonya tuHahahaaaa inaelekea mwamba alikua anawaoshea saaana na Ford yake bila kujua anatembea na chuma ulete. Mm naona kibongo bongo bado tuna mda mrefu sana mpaka tuweze kua na variety ya spares za magari yote madukani kama ilivyo Nairobi. Gari nyingi unique upatikanaji wa spare madukani ni tatizo
Daah wakati Nairobi angepata kwa 180kKuna mwamba mmoja mzee wa mashauzi classic sana yupo mji kasoro Meli alinunua ka-ford focus kake miaka kama 5 iliyopita hv,kanafanana fanana na Nissani xtrail hv,kakaja kufa sensa ya kwenye switch,akiiwasha gari inawaka kidogo halafu inazima,
Mwamba kazungurukaaaaaaaaaaaaaaaaaa weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee,mwisho akaambiwa atachongeshewa kwa laki 9 kwani maduka ya spea ya Dar,Moro na Chuga kote alikosa.
Ikabidi afuate ushauri wa kuchongesha kwa vishoka wa mjini,alivyochongesha sasa kuijaribu kagari kanawaka halafu hakadumu hata dakika moja kanazimika,laki kweli si pesa,lak9 ndio ikawa ndio imekwenda hiyo.
Akampata muhindi mmja akamwambia waifungue hiyo switch orijino waitume kiwandani China wakaifyatue nyingine,gharama yake akatajiwa Mil3,amesanda amelifunika na turubai gari lake akiwaza hiyo mil 3 anaweza kabisa kununua kavitz OLD model cha kitaa na akavimba vizuri tu.
UNIQUENESS ni NZURI ILA UWE NA MAPENEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
Nairobi wako mbele sana.Hahahaaaa inaelekea mwamba alikua anawaoshea saaana na Ford yake bila kujua anatembea na chuma ulete. Mm naona kibongo bongo bado tuna mda mrefu sana mpaka tuweze kua na variety ya spares za magari yote madukani kama ilivyo Nairobi. Gari nyingi unique upatikanaji wa spare madukani ni tatizo
Naona amelikatia tamaa,manake tokea lilivyoingia nchini haizidi miezi 7 ndio aliyoitembeleaDaah wakati Nairobi angepata kwa 180k
Mwanangu mil3 kwa spare tu ya gari ya kutembelea inabidi uwe na mkwanja mrefuuuuNaona amelikatia tamaa,manake tokea lilivyoingia nchini haizidi miezi 7 ndio aliyoitembelea
Hivi kuna siri gani? Yani kwann wenzetu wameweza sisi tushindwe?Nairobi wako mbele sana.
Kuna jamaa zangu wa Congo huwa wakikwama spare suluhu huwa nawalekeza Nairobi...huko wajanja wengi na wana kila aina za gari za kifahari.
Siku hiyo nimetoka nalo kwangu niende job, asubuhi kulikua na ukungu wa baridi barabarani. Haikua rahisi kuona mbele mpaka ufute fute kioo kwa ndani.
Nairobi, South Africa hata angeanzia hapo CMC ni agents za Ford.Nairobi wako mbele sana.
Kuna jamaa zangu wa Congo huwa wakikwama spare suluhu huwa nawalekeza Nairobi...huko wajanja wengi na wana kila aina za gari za kifahari.
Ukiwa na gari kama hizi lazima uwe unajua magari kweli! La sivyo utakutana na majanga kama haya.Kuna mwamba mmoja mzee wa mashauzi classic sana yupo mji kasoro Meli alinunua ka-ford focus kake miaka kama 5 iliyopita hv,kanafanana fanana na Nissani xtrail hv,kakaja kufa sensa ya kwenye switch,akiiwasha gari inawaka kidogo halafu inazima,
Mwamba kazungurukaaaaaaaaaaaaaaaaaa weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee,mwisho akaambiwa atachongeshewa kwa laki 9 kwani maduka ya spea ya Dar,Moro na Chuga kote alikosa.
Ikabidi afuate ushauri wa kuchongesha kwa vishoka wa mjini,alivyochongesha sasa kuijaribu kagari kanawaka halafu hakadumu hata dakika moja kanazimika,laki kweli si pesa,lak9 ndio ikawa ndio imekwenda hiyo.
Akampata muhindi mmja akamwambia waifungue hiyo switch orijino waitume kiwandani China wakaifyatue nyingine,gharama yake akatajiwa Mil3,amesanda amelifunika na turubai gari lake akiwaza hiyo mil 3 anaweza kabisa kununua kavitz OLD model cha kitaa na akavimba vizuri tu.
UNIQUENESS ni NZURI ILA UWE NA MAPENEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
Hapa unahitaji msaada zaidi wa kina RRONDO na wajerumani wenzake [emoji23][emoji23][emoji23]Mimi Nilipo Gari Niliyonayo Zinahesabika Sasa Changamoto yake ni Kuwa Inachemsha.
Gari ni BMW 320i ya Mwaka 2002.
Hii Gari Ina Changamoto ya Kuchemsha yaani unatoka vizuri asubuhi utaona inaanzakupoteza nguvu na mvuke unatoka.
Gari ipo mkoani nyanda za Juu Kusini, Kwasasa Nimeiacha Garage Fundi anashauri nibadilishe Engine.
Kwa mwenye Uzoefu na haya magari na Aliyewahi Kupata Hii Changamoto kwa Haya magari.
Msaada Hata wa mawazo.
Sio tu kujua magari, uwe na ukwasi wa kutosha [emoji23][emoji23][emoji23]Ukiwa na gari kama hizi lazima uwe unajua magari kweli! La sivyo utakutana na majanga kama haya.