Changamoto ya Mtandao wa Tigo

Changamoto ya Mtandao wa Tigo

mswele

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2014
Posts
687
Reaction score
419
Habarini wakuu..

Kuna hilo Jambo ambalo lipo na limetokea Kwa wengi ambapo unajiunga kifurushi aidha Kwa tigopesa au salio unakatwa pesa tigo wanarudisha msg kuwa tayar wamekuunga halafu kumbe hawajakuuunga.

Sasa inakuja pale unapotaka kupiga simu unaambiwa huna salio la kutosha mbaya zaidi wanatuma msg Kwa mtu ulietaka kumpigia kuwa ulijaribu kupiga lkn hukua na salio je huku si ni kudhalilishana Kwa pesa yako mwenyewe?

Ukipiga customer care wanakwambia subiri 48 hrs utarudishiwa pesa au kifurushi chako kuna tatizo la kiufundi mbona hawatoi taarifa Kwa wateja km msijiunge kuna tatizo leo

Sasa Mimi muda wa ku track salio langu kwenye tigopesa ninaupata wapi.
Imagine two days nashindwa kupiga simu au kutuma SMS.
@tigotanzania
 
Dakika hii hii nimetoka kugombana nao nimehamisha pesa kutoka kwny line ya airtel kuipeleka kwenye tigo kuna muhamala nilitaka nifanye, ajabu sioni chochote wala huduma niliyotaka kufanya sipati, alafu pumbavu moja linaniambia nisubiri saa24!!!? Kweli!!? Wanajua nilikua nataka nifanye nini na huo muhamala usiku huu!!!?

Nilikua na sita sita sana kuhamisha ile pesa bhasi tu, sijui imekuaje, hawana huduma za uhakika kabisa!

See
 
Dk hii hii nimehamisha pesa kutoka kwny line ya airtel kuipeleka kwenye tigo kuna muhamala nilitaka nifanye, ajabu sioni chochote wala huduma niliyotaka kufanya sipati, alafu pumbavu moja linaniambia nisubiri saa24!!!? Kweli!!? Wanajua nilikua nataka nifanye nini na huo muhamala usiku huu!!!?

Nilikua na sita sita sana kuhamisha ile pesa bhasi tu, sijui imekuaje, hawana huduma za uhakika kabisa!

Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
Kaka huu mtandao wa mchongo na inaonekana wanae mtu serekalini wameshamshika tayari kwahyo hizi kelele zetu ni kuondoa stress tu lkn hamna kitakachofanyika
 
Mpaka kesho asubuhi, haijarudi hicho kisent nitakua tayari kupoteza wooote na chochote nilichokua nafanya na hii line ya tigo!

Kataa ndoa
Kataa tigo
Kataa tigo
Kataa tigo
Tigo ni haramu

Wezi sana, alafu kavu kavu yaani
JamiiForums-688047144.jpg

Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
 
Habarini wakuu..

Kuna hilo Jambo ambalo lipo na limetokea Kwa wengi ambapo unajiunga kifurushi aidha Kwa tigopesa au salio unakatwa pesa tigo wanarudisha msg kuwa tayar wamekuunga halafu kumbe hawajakuuunga.

Sasa inakuja pale unapotaka kupiga simu unaambiwa huna salio la kutosha mbaya zaidi wanatuma msg Kwa mtu ulietaka kumpigia kuwa ulijaribu kupiga lkn hukua na salio je huku si ni kudhalilishana Kwa pesa yako mwenyewe?

Ukipiga customer care wanakwambia subiri 48 hrs utarudishiwa pesa au kifurushi chako kuna tatizo la kiufundi mbona hawatoi taarifa Kwa wateja km msijiunge kuna tatizo leo

Sasa Mimi muda wa ku track salio langu kwenye tigopesa ninaupata wapi.
Imagine two days nashindwa kupiga simu au kutuma SMS.
@tigotanzania
Mungu akulinde ungekuwa unafanya kazi serikali ndio ungejuta kila siku tumwamwambia mlipa kodi network hakuna na ni mifumo ya serikali.sasa mtu katoka Bush huko kaja wilayani hayo hata hajui na pesa zake
 
Hawa tigo wanakera sana per day unaeza tumiwa zaidi ya sms 20 za 15633 na mtu hujajiunga.
Maswali ya kipuuzi puuzi tu alieimba kanyaga ni nani
A. Dimond
B. R kelly

Ni mama yao 😬😬 mbweha hawa
 
Haha kabisa mara umeshinda milion 100 wakat unaiwaza elfu mbili yako walioichukua
Sio kwamba hata nashiriki hiyo michezo yao. Yani wanakera sana. Wamezidi na mameseji ya hovyo na yakitapeli
 
Hawa tigo wanakera sana per day unaeza tumiwa zaidi ya sms 20 za 15633 na mtu hujajiunga.
Maswali ya kipuuzi puuzi tu alieimba kanyaga ni nani
A. Dimond
B. R kelly

Ni mama yao mbweha hawa
Dawa ni ku block hiyo namba sms ziingie kama spam maana zinaingia hata saa 8 usiku subamiti hawa

Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
 
kuna kipindi walikua ukiweka vocha wanakata sh 1
salio linakua limepungua unashindwa kujiunga, ukiwapigia wanakwambia system inasumbua tafuta mtu akuwekee sh 50 , bila aibu
ukiongeza vocha useme ili ujiunge , kama imebaki sh 400 unakuta baada ya masaa yote imekatwa
 
Back
Top Bottom