Changamoto ya majina kwenye ajira

Changamoto ya majina kwenye ajira

EDDOX

Member
Joined
Feb 15, 2023
Posts
9
Reaction score
2
Wadau naomba kufahamu,hivi katika suala la kuajiriwa kwa vyeti, iwapo jina lako la kati herufi moja haifanani katika vyeti na nida

Mfano, Jina la kati huku ni "Hamad" na kule ni "Hamadi". Tofauti ni uwepo wa herufi "I" ya mwisho

Je? Kuna effect gani apo na kuna namna yoyote ya kusolve apo ili mambo yaende sawa?
 
Hao ni watu wawili tofauti, hivyo basi kwakuwa nida ndiyo imekosewa basi kwanza tafuta deedpoll, deedpoll inathibitisha majina yako halisi ni yapi, deedpoll zinapatikana Kwa kwenda Kwa mwanasheria yoyote au mahakamani wanakutengenezea then utaipeleka Kwa msajili wa viapo (wizara ya ardhi) ambao wapo Kila mkoa then wataisajili, hapo andaa kama 50000.

Hatua nyingine ni wewe kubadilisha jina lako nida ambapo Kuna mchakato wake, hivyo fika ofisi za nida ulizopo Kwa taarifa zaidi maana taratibu zinafahamika lakini si unajua ni TZ hii, itategemea umemkuta nani ofisini kipindi hicho.

Maana yangu ya kukuandikia gazeti refu Hili ni kwamba, deedpoll itakusaidia katika harakati zako za ajira huku ukijivuta na mchakato wa nida.

Hivyo basi ambatanisha hiyo deedpoll na vyeti vyako vyote ikiwemo vilivyokosewa popote pale unapoenda katika masuala yako ya ajira.
 
Nimekupata kiongoz,sasa kwangu mimi NIDA iliotokana na cheti cha kuzaliwa ndo sahihi Jina kamili. ,kosa ni huku katika vyeti vya shule ndo jina lilikosewa je
Na apo niipata iyo deedpoll si naweza kuishi nayo mazima au ina expire date limit
 
Ndiyo, deedpoll Haina expire date...lakini ni vizuri majina yako yafanane yote, hivyo utaona wewe ni wapi ni rahisi kubadilisha jina. Cheti cha kuzaliwa ni rahisi kubadilisha, nida ukikomaa pia unabadilisha, vya shule vina mziki kubadilisha...hata hivyo watu huishi na hiyo deedpoll Haina shida kabisa...hofu yangu Mimi ni ww kuendelea kutumia deedpoll maisha yako yote kitu ambacho sioni kama ni busara sana.
 
Hata majina ya vyeti vya shule wanakosea ila Nida na cha kuzaliwa iko fresh....Mimi nilienda kula kiapo mahakamani pale magomeni usalama nakumbuka...Fasta tu .
 
Kuna gharama?kiasi gani?
 
Ndiyo, deedpoll Haina expire date...lakini ni vizuri majina yako yafanane yote, hivyo utaona wewe ni wapi ni rahisi kubadilisha jina. Cheti cha kuzaliwa ni rahisi kubadilisha, nida ukikomaa pia unabadilisha, vya shule vina mziki kubadilisha...hata hivyo watu huishi na hiyo deedpoll Haina shida kabisa...hofu yangu Mimi ni ww kuendelea kutumia deedpoll maisha yako yote kitu ambacho sioni kama ni busara sana.
Kwann?unasema Sio kama ni busara kiongoz
Naomba nieleweshe tafadhali
 
Back
Top Bottom