Changamoto ya kumwaga sperm, kila ninapo lala usingizini

Intelligent businessman

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
46,407
Reaction score
102,444
Wakuu nimekuwa nakumbwa na changamoto ya kumwaga mbegu, kila ninapo lala usingizini.

Changamoto hii ina kama miezi kadhaa, mwanzoni nili dhani ni issue normal pengine ni kutokana na issue za semen retention au wenge la ukuaji.

ila kadri siku zilivyo kwenda mambo ni yale yake, kila niki lala nakitupa tu.
.
Nili jaribu kwenda kwa mtaalamu wa afya ya uzazi, akaishia kuni ambia masuala ya hormone imbalance, sijui sex appetite iko juu hivyo nishushe.

nime fanya hivyo, ila bado kadhia ipo. Je nini chanzo na kuna suluhisho zaidi?

I mean no malice to nobody
 
Bro,hiyo sio big issue,wewe endelea na maisha yako,muhimu tafuta patna wako mmoja uenjoi nae maisha.Itajirekebisha yenyewe
 
Ona sasa....

Ungekuwa una pa kuilaza usingekuwa unahangaika hivi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…