Changamoto ya kukosea muamala

Changamoto ya kukosea muamala

Asee nimetoa pesa kimakosa kwa wakala ikaenda kwa wakala mwingine ..nime wapigia voda wamesema wameizuia na nisubiri ndani ya masaa 24 .
Je kuna alie wahi kukutwa na shida kama hii na akafanikiwa kupata pesa zake ?
Usiombe ikutokee ukiwa safarini na ndio pesa pekee unayotegemea....
 
Asee nimetoa pesa kimakosa kwa wakala ikaenda kwa wakala mwingine ..nime wapigia voda wamesema wameizuia na nisubiri ndani ya masaa 24 .
Je kuna alie wahi kukutwa na shida kama hii na akafanikiwa kupata pesa zake ?
Kama umeambiwa usubili basi kuwa na subila hiyo bado ni haki yako
 
MAREJESHO

pesa zangu zimerudi lakini imerudi ile ilio toka tu makato wamebaki nayo, Shukrani kwenu wote mlio niondolea wasi wasi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom