Mayor of kingstown
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,921
- 4,215
Asee nimetoa pesa kimakosa kwa wakala ikaenda kwa wakala mwingine ..nime wapigia voda wamesema wameizuia na nisubiri ndani ya masaa 24 .
Je kuna alie wahi kukutwa na shida kama hii na akafanikiwa kupata pesa zake ?
MAREJESHO
pesa zangu zimerudi lakini imerudi ile ilio toka tu .makato wamebaki nayo Shukrani kwenu wote mlio niondolea wasi wasi na pia tuzidi kuwa makini