Changamoto ya ajira ni ya kudumu?

Changamoto ya ajira ni ya kudumu?

Wamebaki kutapatapa tu, Mara wenye elimu za kuunga kufukuzwa kazi, yaana hata hayajui nn yanachokfanya kila kitu majarbio, hata wapunguze nusu watumishi bado tatzo lipo maana hawawez kuajir wote wanaohtajka! Dawa yao wanyimeni kura 2020 ili angalau aje mwngne kwan atakuwa amejifunza mengi ktk uongoz huu wa hovyoooooo

Uongoz kama kaya ya MTU, maana hakna taarfa kwa umma!
 
Wabongo mbona wagumu kuelewa mkasome public notice ukimaliza fuatilia jana JK kasemaje na kuhusu ajira zipo kila cku kwenye mitandao au kada yako co marketable

Huyu jamaa nae ni mpotoshaji kabsa! Ajira hakna sehemu zilipotangazwa,

Hata waliorudshwa kazn Nov mwanzon kwa kuwa walikua na check no nao wamerudishwa tena nyumban kwa Mara ya pili, hakna walaka wala kibali cha ajira toka ofsi ya Rais na utumishi umma!
 
Back
Top Bottom