Changamoto ya ajira ni ya kudumu?

Changamoto ya ajira ni ya kudumu?

nkwaru

Senior Member
Joined
Jan 16, 2013
Posts
126
Reaction score
42
Tuwekwe wazi na wahusika kama hz ajira zipo ama laah!
 
Labda usiku utakapokwisha! Ukiuliza ajira unaonekana mchochez! Tumechoka tukapumzika tumechoka pia!
 
Huyu jamaa hayupo kwa ajili ya watz wasio na ajira..
Ni hivi yeye hajawahi kukaa na kusota mtaani, huyu ni mtoto wa maskini ila yeye alipomaliza tu masomo akatoboa moja kwa moja akapata ajira.
Hajui nini maana ya kutokuwa na ajira.
Anaona kama mnampiigia makelele.
Anawaona wote ni ukawa.
Yeye kazi yake akishaanka anafungulia resio clouds anafuatili fiesta imo au anafuatilia makonda akifanya mikutano ya siasa.

Na kwa sasa nina uhakika anajiandaa na kuweka mambo sawa ili kuiba kura 2020 kwa sababu asipofanya hivyo asahau kurudi ikulu
 
Kiukwel sasa imekua sifa, tena sifa za kijinga, mwaka mzma bila AJIRA, waliokua wameajiriwa nao wakasitishiwa nakurdshwa home mpaka leo zaidi miez 6! Hata hawaoni hili na uhakiki wao usoisha! Hata taarfa hawatoi za kueleweka ili angalau umma ujue hatma! Yapo kimya tu!
 
Wabongo mbona wagumu kuelewa mkasome public notice ukimaliza fuatilia jana JK kasemaje na kuhusu ajira zipo kila cku kwenye mitandao au kada yako co marketable
 
Wabongo mbona wagumu kuelewa mkasome public notice ukimaliza fuatilia jana JK kasemaje na kuhusu ajira zipo kila cku kwenye mitandao au kada yako co marketable

Kada IP makertable mkuu?
 
Kama na afya IMO basi kubali ajira bado hazjafnguliwa, kuna watumishi walisitishiwa ajira zao June mpaka leo hawajardshwa na afya wamo sasa! Tuachen SIASA ajira bado hazjafunguliwa!
 
Public notice nayo haina jpya zaid ya taarfa za kusubr uhakiki uishe ndo ajira ztatangazwa, na wanasema ajira bado zmesitishwa, kama zmefunguliwa why WALIOSITISHIWA ajira zao June hawajardshwa? Tatzo kila MTU msemaji na mjuaji! Ajira zikiwa wazi kila MTU atajua,hilo ni suala la umma sio SIRI!
 
HIV guidance and counselling, Marketing, maafisa ugani na kadhalika nyingine tafuta mwenyewe
 
Hakuna ajira huyu jamaa na serikali yake hawana jipya na wala uwezo wa kuajili watu wapya so msipoteze muda wenu kupost maswala ya ajira tafuta ishu zingine za kufanya.
 
Kila siku wanaleta mbinu za kupunguza wafanyakazi Mara hawana sifa, degree za kuunga sijui zaman walikua hawazioni! Kama serikali haina hela kuweka wazi umma wanaona aibu? Binafsi tumechoka na serikali vijana bora mfanye mambo mengne, wadogo zangu wawili Mahakama na mwingne aliajiriwa afya wote walisitishiwa ajira zao toka June wapo tu nawajui hatima yao,

Leo mtu unasema ajira zipo nazinatangazwa, kama hivyo kwa nn wasiwarudshe hao wahanga waliokaa miez 6 bila kaz wakiwa wamesitishiwa?

Punguzeni SIASA na watu hatuna imani na serikali ya awamu ya 5 hata, ikijielewa na kuonesha uelekeo wawazi kwa umma sawa lakin sio kwa sasa!

Ccm maneno mengi sana! Fanyeni uhakiki miaka 2 mkimaliza mtasema! Ila IPO siku mtajua tu kuwa watu wamewachoka!
 
Wabongo mbona wagumu kuelewa mkasome public notice ukimaliza fuatilia jana JK kasemaje na kuhusu ajira zipo kila cku kwenye mitandao au kada yako co marketable
Public notes iko wap ndugu?
 
hii ni kawaida ya binadamu sijui ni kwa nini, wanauana, wanachukiana, wanaoneana wivu, wanaombeana mabaya. kuliko viumbe wengine kwa nini?
 
Alieuliza kuhusu ajira kama ni tatzo la kudumu au la!

Hali inaonesha tatzo hli mpaka mwakan ndo litafikiliwa,

Nasema hivi kwa sababu hata waliorejeshwa kazn waliokuwa na check No. Wahanga WALIOSITISHIWA ajira June wamerudishwa tena nyumbani kwa Mara ya pili!

Watumishi hawa waliriport mwanzon mwa November mwezi huu, wamefanya kazi nusu mwez tu na wamerejeshw tena home,

Chanzo wao wenyewe,watakuja wafafanue zaid kilichowakuta kwa Mara ya pili!
 
serikali yetu haieleweki inatupeleka wapi watu uliwasitishia ajira kwa nn usitoe tamko linaloeleweka kama ulivyo sitisha maana watu wako njia panda na ma hr nao hawajui nn kinaendelea tumeichoka serikali isiyo wajali watu wake.
 
Hakuna ajira huyu jamaa na serikali yake hawana jipya na wala uwezo wa kuajili watu wapya so msipoteze muda wenu kupost maswala ya ajira tafuta ishu zingine za kufanya.
Hawa waliopo tu kwenye system anawaona mzigo anatafuta kila namna ya kuwapunguza, ikiwa ni pamoja na kuwatuma watendaji wake wawatukane wawanyanyase wawaite watembea ma hirizi ili mradi tu kuzua tafrani maofisini wakufukuze kazi, watanzania tulisahau kale ka msemo ka wahenga kuwa "Masikini akipata Matako hulia mbwata" na aliyeshiba hamjui mwenye njaa
 
HIV guidance and counselling, Marketing, maafisa ugani na kadhalika nyingine tafuta mwenyewe
We Musa acha kuongea upumbavu,madaktari tu hawajaajiriwa unasema counseling officers !!! Hebu tuambie ni lini na wizara gani ya serikali imetangaza ajira mpaka sasa! Tupe Link tusaidie kuwatafutia wadogo zetu other wise unafanya polojo msibani
 
Unapoambiwa kuwa utaisoma namba kwa kumchagua bwana yule huwa huelewi au?....tena ulimchagua kwa mbwembwe zote!
 
Alieuliza kuhusu ajira kama ni tatzo la kudumu au la!

Hali inaonesha tatzo hli mpaka mwakan ndo litafikiliwa,

Nasema hivi kwa sababu hata waliorejeshwa kazn waliokuwa na check No. Wahanga WALIOSITISHIWA ajira June wamerudishwa tena nyumbani kwa Mara ya pili!

Watumishi hawa waliriport mwanzon mwa November mwezi huu, wamefanya kazi nusu mwez tu na wamerejeshw tena home,

Chanzo wao wenyewe,watakuja wafafanue zaid kilichowakuta kwa Mara ya pili!
Tatizo la Ajira si la kupepesa Macho kukili kuwa litakua ni la kudumu, hebu tujirudishe nyuma kidogo enzi za JK ambae alikua akitoa ajira kila mwaka karibu kwa kila kada lakini bado tatizo la ajira lilikuwepo kwa ukubwa tu, je huyu ambae anafungamanisha wahitimu bila kuwaajiri hata robo yake atasababisha crisis kiasi gani? Tuna output 2 mtaani za vyuo vikuu walio maliza mwaka Jana na wale waliomaliza mwaka huu achilia mbali wale wa Diploma etc. Sasa tujiulize je ataweza kutoa ajira kwa output hizi mbili at once? Huku nyingine ikimkaribia kwa mwaka huo huo 2017 by July
Tukubali tu moja ya matatizo yatakayowatafuna watanzania katika kipindi hiki cha miaka mi 5 ni ajira, mikopo ya vyuo vikuu na kupanda kwa gharama za maisha isivyotarajiwa, hima tujifunge mikanda
 
Back
Top Bottom