A
Kuandamana haijawahi kuwa solution ya kusolve changamoto.UDOM ni chuo ambacho inaonekana dhahiri,kina shida ya uongozi makini,kuanzia UDOSO hadi juu kabisa.Kuna kipindi kulikua na shida ya maji,wanafunzi wakawa wanahangaika kinoma,mwaka uliofuata tena kukawa na shida ya maji pia,nikashangaa sana,kwamba kwanini chuo kikubwa hivi,kinakosa ufumbuzi wa kudumu wa tatizo la maji,nikatafakari nikabaini kua tatizo lipo kwa UDOSO na uongozi wa juu wa chuo,kwani ilikua ukifuatilia inasemekana eti mabomba huwa yanapasuka,hivyo kupelekea shida ya maji.Sasa kweli chuo kikubwa hivyo,kinaingiza mapato kila leo,kinashindwa kununua mabomba imara,na kuondoa tatizo dogo kama hilo,linalopelekea wanachuo kuhangaika?
Nyie wanafunzi wa informatics,hebu thubutuni hata kuandamana muondoe serikali ya UDOSO,na ikiwezekana alikeni vyombo vya habari vikubwavikubwa,maana wameshindwa kutatua matatizo madogo kama hayo na mengineyo,ilhali mnakatwa pesa za kuwalipa wao,no wonder Jenerali Ulimwengu anasema baadhi ya vyuo vyasasa vimekua ni extended high schools.
Miaka ya nyuma,ambapo vyuo vilikua vyuo kweli na siyo extended high schools,maandamano yakikua ni moja ya suluhu.Kama wewe ni current University student wa hapo UDOM,sikushangai,may be hujui protest ninini na aina za protests ni zipi.Kuandamana haijawahi kuwa solution ya kusolve changamoto.
Zama zinabadilika.Miaka ya nyuma,ambapo vyuo vilikua vyuo kweli na siyo extended high schools,maandamano yakikua ni moja ya suluhu.Kama wewe ni current University student wa hapo UDOM,sikushangai,may be hujui protest ninini na aina za protests ni zipi.
Mkiandamana hapo utakuta wanafunzi 50 wanafukuzwa, sasa nani anataka hizo riskZama zinabadilika.
Kwahiyo mpo kwenye zama zisizohitaji majibu ya matatizo yenu?Zama zinabadilika.
Mwache aendelee kuropoka ovyoMkiandamana hapo utakuta wanafunzi 50 wanafukuzwa, sasa nani anataka hizo risk
Sawa mwerevu karibu uje uongoze maandamano.Kwahiyo mpo kwenye zama zisizohitaji majibu ya matatizo yenu?
That's why yawezekana hao UDOSO wanawaona ninyi ni wajingawajinga tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]UDOM ni chuo ambacho inaonekana dhahiri,kina shida ya uongozi makini,kuanzia UDOSO hadi juu kabisa.Kuna kipindi kulikua na shida ya maji,wanafunzi wakawa wanahangaika kinoma,mwaka uliofuata tena kukawa na shida ya maji pia,nikashangaa sana,kwamba kwanini chuo kikubwa hivi,kinakosa ufumbuzi wa kudumu wa tatizo la maji,nikatafakari nikabaini kua tatizo lipo kwa UDOSO na uongozi wa juu wa chuo,kwani ilikua ukifuatilia inasemekana eti mabomba huwa yanapasuka,hivyo kupelekea shida ya maji.Sasa kweli chuo kikubwa hivyo,kinaingiza mapato kila leo,kinashindwa kununua mabomba imara,na kuondoa tatizo dogo kama hilo,linalopelekea wanachuo kuhangaika?
Nyie wanafunzi wa informatics,hebu thubutuni hata kuandamana muondoe serikali ya UDOSO,na ikiwezekana alikeni vyombo vya habari vikubwavikubwa,maana wameshindwa kutatua matatizo madogo kama hayo na mengineyo,ilhali mnakatwa pesa za kuwalipa wao,no wonder Jenerali Ulimwengu anasema baadhi ya vyuo vyasasa vimekua ni extended high schools.