Changamoto: Recruitment portal

mwanaNjilo

JF-Expert Member
Aug 30, 2018
277
195
Habar za humu WanaJF!
Naomba niende straight.

Napata changamoto ya kuweka info (Academic qualifications) kwny hii recruitment portal yetu ya secretariat ya ajira. Hivi ikitokea kozi uliosoma haipo kwenye selection walizoziorodhesha unafanya vipi to fill the blank??! Kwamfano mimi I majored in Logistics and transport management, I can't find the course katika list of selection ya kwao. Nifanyaje??

Msaada tafadhal!
 
Katika page yao kuna sehemu ya msaada, kuwasiliana na malalamiko ningekushauri ungewauliza wenyewe wangekupa ushauri unaokidhi zaidi tofauti na hapa kama itakupendeza kwa hili
 
Ile namba Helpdesk nimejaribu kupiga haipatikani leo siku ya tatu
 
Mie niongezee hapo kwa kuomba tu ,kamati ile ya meza ya duara ikiongozwa DAUDI kwanini isivunjwe make watu ni walewale wanaoteua au kuchagua wakati wa selection ya waajiriwa wapya . nangea hivyo kwasababu bado kuna mtandao wa zamani ule.
 
Nenda kwenye "other"click hapo kisha itakuja space kwa ajili ya kujaza hiyo kozi yako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom