nashukuru kwa kunifungua macho
Chadema ni chama cha siasa chenye changamoto nyingi sana hususan kukifanya chama hicho kiwe na sura ya kitaifa na sio kikanda, kikabila na kidini
Kwa sasa ni chama kilichoshika katika mikoa ya kanda ya ziwa, na kanda ya mashariki ambako ndio chimbuko na ngome yake kuu.
Lakini chama hiki mpaka leo kinatumia pesa nyingi sana kuelekeza sehemu hizo badala ya kuelekeza Tanga, Morogoro, Dar hususan temeke na kigamboni na ukonga , Mtwara, Lindi na visiwa vya unguja na Pemba ili kiwe na mtazamo wa kitaifa.
Najua wengi watauliza Chadema Dar ipo, lakini kwa mwenye akili utaona wazi waliposhinda ubunge ni ngome kubwa ya watu wa kaskazini. yaani watu wangi wa kaskazini utawapata mbezi, kimara, ubungo, chuo kikuu, sinza, samaki, mpaka boko. watu hawa ni very rare kuwaona temeke, mbagala n.k
Hiyo inazidi kuashiria kuwa chama hiki ni cha kikanda na kina harufu kali sana ya Udini ambayo kwa siri sana wanaitumia katika kupata majority support.
Mtazamo wangu ,CHADEMA ili kiweze kushika nchi yenu ni lazima kiwe chama cha kitaifa badala ya sasa kuwa Chama cha mikoa fulani au makabila fulani fulani.
Hiyo ni changamoto kwa Chadema.

Kura za wabunge wote wa CUF Zanzibar ndio sawa na idadi ya kura za mbunge mmoja tu wa CHADEMA John Mnyika, kwahiyo tafuta macrapiest wenzako muweze kujifariji na hoja chovu kama hizi. to hell & rest in peace. :rip::rip::rip::rip:
wewe NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK! Una uhakika jimbo la kawe lina wachaga wengi? Ina mana wafanyakazi wa BOT ie Vick Kamata ni mchaga? Wanafunzi wengi wa UDSM ni wachaga? Fanya utafiti kabla ya kuongea. Je kanda ya ziwa ni wachaga? Mbona husemi CCM ni wadini kwan wameshinda maeneo ya Kiislam kv tanga,pwani,mtwara,kigoma na unguja?
Chadema ni chama cha siasa chenye changamoto nyingi sana hususan kukifanya chama hicho kiwe na sura ya kitaifa na sio kikanda, kikabila na kidini
Kwa sasa ni chama kilichoshika katika mikoa ya kanda ya ziwa, na kanda ya mashariki ambako ndio chimbuko na ngome yake kuu.
Lakini chama hiki mpaka leo kinatumia pesa nyingi sana kuelekeza sehemu hizo badala ya kuelekeza Tanga, Morogoro, Dar hususan temeke na kigamboni na ukonga , Mtwara, Lindi na visiwa vya unguja na Pemba ili kiwe na mtazamo wa kitaifa.
Najua wengi watauliza Chadema Dar ipo, lakini kwa mwenye akili utaona wazi waliposhinda ubunge ni ngome kubwa ya watu wa kaskazini. yaani watu wangi wa kaskazini utawapata mbezi, kimara, ubungo, chuo kikuu, sinza, samaki, mpaka boko. watu hawa ni very rare kuwaona temeke, mbagala n.k
Hiyo inazidi kuashiria kuwa chama hiki ni cha kikanda na kina harufu kali sana ya Udini ambayo kwa siri sana wanaitumia katika kupata majority support.
Mtazamo wangu ,CHADEMA ili kiweze kushika nchi yenu ni lazima kiwe chama cha kitaifa badala ya sasa kuwa Chama cha mikoa fulani au makabila fulani fulani.
Hiyo ni changamoto kwa Chadema.
Hafifu kweli ni hafifu,kama cdm ni cha kikanda si ndo ufurahi maana hakitaweza kuiondoa ccm yako?
haya tena kibaraka kazini!mpaka chadema wakutie mimba
Mbona hujiulizi kwa nini ccm inashinda kirahisi sehemu zenye masikini wengi sana na ujinga uliokithiri? Mfano temeke,mbagala, Same, Mwanga, dodoma, kondoa, singida, mikoa ya mashariki, kusini? Afadhali masikini wa kigoma wamestuka! TafakariChadema ni chama cha siasa chenye changamoto nyingi sana hususan kukifanya chama hicho kiwe na sura ya kitaifa na sio kikanda, kikabila na kidini
Kwa sasa ni chama kilichoshika katika mikoa ya kanda ya ziwa, na kanda ya mashariki ambako ndio chimbuko na ngome yake kuu.
Lakini chama hiki mpaka leo kinatumia pesa nyingi sana kuelekeza sehemu hizo badala ya kuelekeza Tanga, Morogoro, Dar hususan temeke na kigamboni na ukonga , Mtwara, Lindi na visiwa vya unguja na Pemba ili kiwe na mtazamo wa kitaifa.
Najua wengi watauliza Chadema Dar ipo, lakini kwa mwenye akili utaona wazi waliposhinda ubunge ni ngome kubwa ya watu wa kaskazini. yaani watu wangi wa kaskazini utawapata mbezi, kimara, ubungo, chuo kikuu, sinza, samaki, mpaka boko. watu hawa ni very rare kuwaona temeke, mbagala n.k
Hiyo inazidi kuashiria kuwa chama hiki ni cha kikanda na kina harufu kali sana ya Udini ambayo kwa siri sana wanaitumia katika kupata majority support.
Mtazamo wangu ,CHADEMA ili kiweze kushika nchi yenu ni lazima kiwe chama cha kitaifa badala ya sasa kuwa Chama cha mikoa fulani au makabila fulani fulani.
Hiyo ni changamoto kwa Chadema.
Signify, Chama kinapoandikishwa huwa kinajaza blanks zilizowekwa na msajiri, kwamba kabila la Chama, Dini ya chama hicho na Kanda ya Chama hicho?.. Sielewi maana ya UDINI, UKABILA na UKANDA , can u signify or elaborateChadema ni chama cha siasa chenye changamoto nyingi sana hususan kukifanya chama hicho kiwe na sura ya kitaifa na sio kikanda, kikabila na kidini
Kwa sasa ni chama kilichoshika katika mikoa ya kanda ya ziwa, na kanda ya mashariki ambako ndio chimbuko na ngome yake kuu.
Lakini chama hiki mpaka leo kinatumia pesa nyingi sana kuelekeza sehemu hizo badala ya kuelekeza Tanga, Morogoro, Dar hususan temeke na kigamboni na ukonga , Mtwara, Lindi na visiwa vya unguja na Pemba ili kiwe na mtazamo wa kitaifa.
Najua wengi watauliza Chadema Dar ipo, lakini kwa mwenye akili utaona wazi waliposhinda ubunge ni ngome kubwa ya watu wa kaskazini. yaani watu wangi wa kaskazini utawapata mbezi, kimara, ubungo, chuo kikuu, sinza, samaki, mpaka boko. watu hawa ni very rare kuwaona temeke, mbagala n.k
Hiyo inazidi kuashiria kuwa chama hiki ni cha kikanda na kina harufu kali sana ya Udini ambayo kwa siri sana wanaitumia katika kupata majority support.
Mtazamo wangu ,CHADEMA ili kiweze kushika nchi yenu ni lazima kiwe chama cha kitaifa badala ya sasa kuwa Chama cha mikoa fulani au makabila fulani fulani.
Hiyo ni changamoto kwa Chadema.
Ruka na kataa lakini ukweli unabaki pale pale CHADEMA ni chama cha kikanda sio cha kitaifa. Changamoto jitahidini basi kiwe cha kitaifa na kupata wabunge sehemu zote za nchi.
Hiyo ni changamoto kubwa kwenu mwelezeni Dr Slaa na Mbowe
Kama macho yako yalikuwa yamefunga, basi ndo yamefungwa zaidi.nashukuru kwa kunifungua macho
Nakubaliana na wewe kwa hoja kwamba CDM bado wana changamoto nyingi zinazowakabili ili kujijenga kwa wananchi.
Sikubaliani na wewe kwamba hichi ni chama cha kidini, kikanda nk. Kukubalika eneo moja na kutokubalika eneo jingine ni kitu cha kawaida kwenye siasa. Mbona hata huko USA tunasikia kuna States ambazo ni ngome ya Repubs na nyingime ni ngome ya Dems? Tena kuna maeneo ya Dems ambapo Repubs huwa hawajisumbui hata kuweka hata wagombea! Pia kuna 'swing' states- maeneo ambako vyama vyote vinakubalika. Juzi juzi kulikuwa na uchaguzi wa Meya wa Chicago. Repubs hawakuwa hata na mgombea hata mmoja, wote walikuwa Dems? Why? Repubs wanajua Chicago ni ngome ya Dems. Mbona vyama hivi havilaumiwi kuwa ni vya kikanda?
Ikumbukwe pia kwamba kwa chama chochote kuconsolidate support nchi nzima na mkawa na majority siyo kazi rahisi. CCM wapo kote kwa sababu wamerithi toka mfumo wa chama kimoja. Lakini ngome zao zinaendelea kuporomoka kadri watu wanavyoendelea kupata uelewa.