Changamoto katika utumishi wa umma

social_science

JF-Expert Member
Dec 19, 2015
1,106
1,259
Habari za weekend ndugu zangu,

Nikiwa kama mwanafunzi wa public administration moja ya approaches za civil services ni political neutrality civil servant hapaswi kujiingiza katika masuala ya kisiasa akiwa anatumikia Serikali.

SWALI NALO JIULIZA

Profesa Kitila Mkumbo ni mwanachama wa ACT wazalendo wakati huo huo ni mfanyakazi wa Serikali hii imekaaje hapa? Wapo wengi ila nimemchukulia Profesa Kitila kama case study.

Ufafanuzi tafadhali.

Nawasilisha.

Mwanafunzi wa public administration
 
Habari za weekend ndugu zangu
Nikiwa kama mwanafunzi wa public administration moja ya approaches za civil services ni political neutrality civil servant hapaswi kujiingiza katika masuala ya kisiasa akiwa anatumikia serikali

SWALI NALO JIULIZA

Profesa Kitila mkumbo ni mwanachama wa ACT wazalendo wakati huo huo ni mfanyakazi wa serikali hii imekaaje hapa? wapo wengi ila nimemchukulia profesa Kitila kama case study

Ufafanuzi tafadhari

nawasilisha

mwanafunzi wa public administration
 
Back
Top Bottom