Changamoto katika biashara

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,048
Reaction score
61,369
Changamoto wanayokutana nayo wafanyabiashara ni kutokulipwa madeni yao kwa wakati na hivyo kupunguza kasi ya mzunguko, wengine wanakopa wanakaa na hela mpaka mwaka.

Na si kwamba hawana uwezo wa kulipa bali ni usumbufu tu, licha ya usumbufu huo kutoka kwa hao wateja wasio waaminifu bado wafanyabiashara wanaendelea kusimamia malengo yao ya kukuza biashara na kufanya maendeleo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…