Changamoto baada ya kubadili kioo cha iphone 11 pro

mbusage

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2014
Posts
447
Reaction score
123
Habarini wakuu mbalimbali nina changamoto ya simu yangu kujizima mala kwa mala baada ya kubadili kioo chake og.maana nilipata ajali kikaweka wino mwisho kikawa hakioneshi kabisaa.

Tangia nilipobadili kioo kuna muda display huwa inakuwa kama imezima na ukipiga simu inaita but kioo hakiwakii. Na inaweza kaa mudaa flanii hivii ikajiwasha yenyewe.

Je tatizo hasa ni ninii? Ili niweze kulitatuaa?
 
Kioo hakikuwekwa stahili. Itakua walikikata na hakuweka kioo kipya
 
Habarini wakuu mbalimbali nina changamoto ya simu yangu kujizima mala kwa mala baada ya kubadili kioo chake og.maana nilipata ajali kikaweka wino mwisho kikawa hakioneshi kabisaa.

Tangia nilipobadili kioo kuna muda display huwa inakuwa kama imezima na ukipiga simu inaita but kioo hakiwakii. Na inaweza kaa mudaa flanii hivii ikajiwasha yenyewe.

Je tatizo hasa ni ninii? Ili niweze kulitatuaa?

Kioo walichokuwekea kina shida hata kama ni kipya kabadili kingine
 
Hiyo simu imekwishakuwa changamoto mkuu
Warudiahie walio kuwekea kioo

Hapo kuna uwezekano mkubwa umewekewa kioo kibovu
 
umeshaenda kwa wale wababaishaji pale kkoo wakakudaka juu juu,kisha wakakuuzia kioo kibovu.

changamoto sana.ila bado unawezafanya jambo ikakaa sawa.
 
Back
Top Bottom