Changamkieni internet

Donpela

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2011
Posts
2,040
Reaction score
592
Habari wadau,
sTRAIGHT to the point...
Tigo kuna loop hole ya free internet...
Piga *148*00# >> chagua vifurushi vya internet 5 >> chagua Smart PACK 2>> THEN chagua ANDROID 2..then accept
UTAUNGANISHWA FREE OF CHARGE...

GONGA LIKE IKIKUBALI...
Tufaidini wakati ndo huu..:A S thumbs_up:
 

Hebu elezea vizuri, watakupaje internet bure?
 

Mkuu ngoja nijaribu
 
kwahio hii ni mahsusi kwa android smartphone, au ?
 
C6 weka kule store
Joe Nyandigira emu achana na BOL kula hili dili fasta:dance:
 
Last edited by a moderator:
Hii HUDUMA wengi wataumia maana ni lazima ulipe hiyo 30,000/- yao
na zaidi ya yote inaji renew yenyewe hata kama ni 0TZSH ukiwa unaweka hela wanakata kidogo kidogo
Wengi watalia

DEAL LITAGEUKA DIRISHA
 
DUUU, Imekubali Jamaa Umetishaaa, Ila Kama watakuwa wanakata tukiweka salio Tumekwisha.
 
Hii HUDUMA wengi wataumia maana ni lazima ulipe hiyo 30,000/- yao
na zaidi ya yote inaji renew yenyewe hata kama ni 0TZSH ukiwa unaweka hela wanakata kidogo kidogo
Wengi watalia

DEAL LITAGEUKA DIRISHA
mkuu, hapo ndo mana nilijaribu kwa line ya tigo ambayo haiwekwagi hata sumri ikakubali..
na hawa tigo hawakukati mpaka uwe na salio kamilifu la 30k ndo wanakuunganisha...
ila hii nafasi ni wanakuunganisha bila hata ya kuwa na salio
usajili wa dirisha dogo:biggrin1:
 
Hii HUDUMA wengi wataumia maana ni lazima ulipe hiyo 30,000/- yao
na zaidi ya yote inaji renew yenyewe hata kama ni 0TZSH ukiwa unaweka hela wanakata kidogo kidogo
Wengi watalia

DEAL LITAGEUKA DIRISHA

Kweli mkuu hii majanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…