Changamkia fursa

Changamkia fursa

blinky255

Member
Joined
Oct 2, 2015
Posts
28
Reaction score
7
Leo nataka nikujuze ni jinsi gani unaweza kupata pesa na kutimiza malengo yako na kampuni . Fursa hii sio ya kutajirika-fasta kama biashara nyingi zilivyoenea mitandaoni kwamba unaweza kuingiza milioni kwa siku. Kama hio ndio fursa unayoitafuta basi biashara hii haikufai. Fursa hii ni kwa wale waliokuwa na malengo na wapo serious katika kutumia fursa ili kubadilsha uchumi wao.
Leo nitakufundisha jinsi ya kugundua njia maridhawa kabisa ya kutumia urembo na style kama njia ya kujipatia kipato.


Kwanza kabisa, ningependa ujibu maswali yafuatayo :

▪Je unafurahia maisha na familia uliyoitamani? ▪Pesa ambayo unapata sasaiv inatosheleza kwaajili yako na familia yako?

Kama jibu lako ni HAPANA, je upo tayari kubadilisha maisha yako kwa kuchukua hatua ya kujitoa ili upate kipato unachostahili?
Kama jibu lako ni NDIO, basi kuwa mmoja wa wanafursa, mmoja wa wanachama wa kampuni yenye maendeleo. Kampuni ambayo inajulikana na kuaminika duniani, inayoendeshwa na watu wenye kipato cha nambari 6 (6 figures earners) ambao wamejitolea kwenye kukuongoza ili ufikie malengo yako.



Kampuni hii ina takriban miaka 50, na sasa ipo Tanzania ; tayari imeshawafanya wengi wapendeze, wapate kipato, na kufurahia maisha.
Hii ni biashara ambayo inakuruhusu wewe ufanye mambo mengine, kuwa na mda na familia yako.

Kampuni hii si nyingine bali ni ORIFLAME TANZANIA.


NINAWEZAJE KUANZA?
• Jisajili - ni rahisi sana kujiunga, piga namba 0658409474 kujiunga, au tembelea tovuti rasmi ya Oriflame kwenye tz.oriflame.com, bofya kiungo cha usajili na ujaze fomu rahisi, tumia "315759" Kama idhini yako ya wadhamini, Kisha uagize bidhaa ili kuanza kujipatia faida nzuri. (Baada ya usajili wako kamili na kampuni, utapokea Kitabu chako cha Starter kit mara moja).
Kujitolea mwenyewe - kujitolea nishati na wakati wa kufikia malengo na ndoto zako binafsi.


NINI CHA KUFANYA BAADA YA KUJIUNGA ?
• Onyesha Catalogues na pata oda za bidhaa
• Waalike wengine kujiunga.
• Kuhudhuria mikutano ya Oriflame, mafunzo, na matukio.


Haijalishi hali yako ya kiuchumi, fursa hii itakuwezesha kupata hali ya kifedha ambayo umetamani hapa hapa Tanzania.
Watu tayari wanafaidika na kampuni ya Oriflame na naamini wewe ni wa pili kuvunja-kupitia uhuru wako wa kifedha!
Usipoteze wakati tena, tembelea tu tovuti rasmi ya kampuni sasa tz.oriflame.com ili ujiandikishe!

Kumbuka kuingiza namba 315759 kama Sponsor ID ili kukamilisha usahili wako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom