Changamkia Fursa Mshahara 390k

Mkuu unaamini hawa wahuni kabisa hawa???
 
😂😂 Nimekuja kwa mbwembwe nikijua nimepata kibarua dah nilichokikuta ndiyo hiki😭
 
[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81] kaa mbali bomu ilo....
 
Hahaha umenifanya nicheke sana asee kumbe inawajua wajinga hawa eee
[emoji23][emoji23] Nimekuja kwa mbwembwe nikijua nimepata kibarua dah nilichokikuta ndiyo hiki[emoji24]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…