Changamkia ajira

Asante sana mkuu wangu na itabidi kupitia pitia humo.

Kila la heri Mkuu huwezi jua unaweza ukaibuka na kitu kizito na pia huwa wana update kila wapatapo nafasi mpya.
 
Mkuu wangu hawa jamaaa kazi zao naona upande wa experience ni kuanzia 5-10 years, ila nasikia upande wa malipo wapo vizuri sana.
 
Sana mkuu wangu naona wanakazi nyingi sana, itabidi nikae nitulie nicheck vizuri kwanza, kuna kuna zingine zozote zile mkuu ukiwa unazipata basi tumwagie tu hapa
 
Wanataka ukiingia kazini basi unaanza kuchapa kazi tu kama kutakuwa na training basi ni ya muda mfupi...Hakuna kodi katika nchi nyingi za ME na waajiri wengi wanatoa employment benefits za hali ya juu ikiwemo elimu ya watoto (kama muajiriwa ana watoto), matibabu, accomodation na usafiri.
 
Yeah na kama mtu ana apply kazi na anafanikiwa ni sehemu nzuri sana, me nitapitia humo si unajuwa kila kitu kujaribu tu, maana naona endapo wakikukubalia basi baadhi ya huduma unapewa kama ulizotaja hapo ambazo ni za muhimu sana, vile vile kodi hawakati.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Sana mkuu wangu naona wanakazi nyingi sana, itabidi nikae nitulie nicheck vizuri kwanza, kuna kuna zingine zozote zile mkuu ukiwa unazipata basi tumwagie tu hapa

Your attitude, almost always determines your altitude in life...Goodluck and all the best
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom