Nyamtalakyono JF-Expert Member Dec 17, 2015 795 479 Jan 14, 2017 #1 Wadau naomba tushiriki kutoa maoni ni Chanel ipi the best kwa uchambuzi wa magazeti.
Behaviourist JF-Expert Member Apr 8, 2016 39,925 95,582 Jan 14, 2017 #2 Nitajie kwanza yale magazeti mawili ambayo JPM alisema kuwa yanatakiwa yafungiwe!
Page 94 JF-Expert Member Oct 22, 2015 5,204 15,198 Jan 14, 2017 #5 Mimi huwa nasikiliza RFA, Hasa Ahmed Ally anavyosoma vichwa vya Magazeti.
Marlex Jr El JF-Expert Member Nov 6, 2015 1,818 2,415 Jan 14, 2017 #6 Habari napenda Azam two. Magazeti asubuhi Cloud TV.
MTK JF-Expert Member Apr 19, 2012 8,925 6,853 Jan 14, 2017 #8 Star tv anchored by Ben Mwanantala au Lady Kululya
Ilisolokobwe JF-Expert Member Jul 29, 2013 1,856 811 Jan 14, 2017 #9 morningstar tv na atn ndio baba lao kwa uchambuzi wa magazeti