Miwatamu JF-Expert Member Joined Oct 2, 2012 Posts 1,450 Reaction score 492 Apr 12, 2014 #1 Jamani fungulieni kituo cha televission cha chanel 10 ili kupata taarifa na hali halisi ya athari ya mvua katika jiji la dar es salaam. USALAMA KWANZA.
Jamani fungulieni kituo cha televission cha chanel 10 ili kupata taarifa na hali halisi ya athari ya mvua katika jiji la dar es salaam. USALAMA KWANZA.
M MWAKOLO JF-Expert Member Joined Aug 18, 2012 Posts 304 Reaction score 45 Apr 12, 2014 #2 jamani hizo mvua za dar ni kwa hisani ya watu wa marekani
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,481 Reaction score 138,346 Apr 12, 2014 #3 wanafanya promo wapewe msaada...alaf wakishapewa haifiki misaada hiyo kwa walengwa
Sista JF-Expert Member Joined Sep 29, 2013 Posts 3,208 Reaction score 1,038 Apr 12, 2014 #4 kufa kufaana
R r.zube Member Joined Apr 8, 2014 Posts 14 Reaction score 1 Apr 12, 2014 #5 mmmmmm kweli kila kitu kinatakiwa kwwa kiasi kikizidi ni noma
Miwatamu JF-Expert Member Joined Oct 2, 2012 Posts 1,450 Reaction score 492 Apr 12, 2014 Thread starter #6 Mawazo yenu yamepokelewa. Ila naona wanachofanya ni kutoa tahadhari tu kwa wananchi.
mayuni JF-Expert Member Joined Apr 23, 2012 Posts 404 Reaction score 32 Apr 12, 2014 #7 MWAKOLO said: jamani hizo mvua za dar ni kwa hisani ya watu wa marekani Click to expand... Kwiiii......kwiiiiiiii.......!!
MWAKOLO said: jamani hizo mvua za dar ni kwa hisani ya watu wa marekani Click to expand... Kwiiii......kwiiiiiiii.......!!