Chance ya kupata kazi uhamiaji

Chance ya kupata kazi uhamiaji

duet

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2013
Posts
534
Reaction score
149
Kila nafasi moja inawaniwa na watu 154 na hivyo kufanya chance ya kupata kwa kila anayewania 0.00647. Tukaze buti pale uwanja wa taifa. Mambo si rahisi.
 
Naomba kufahamu hiyo interview inapigwaje pepa au oral coz sijawah kusikia wala kuona interview ya atu wengi kama hii sipo kwene mchakao ni kutaka ufahamu tu
 
Afisa hakuna anayejua nini kitatokea huko, hawajatoa maelezo yoyote ya ziada zaidi ya kutaja majina, eneo la interview na muda. Chochote chaweza kutokea huko.
 
Hata km ndo itakuwa written hv kweli watasahihisha hzo pepa zote?au ndo tunadanganywa??
 
Mi nimefanya juzi komaeni ndugu zangu shughur ya kule si ndogo na interview ni oral Tu hakuna wrriten mnagawa kimakundi
 
Makundi kwa vigezo gani? Yatakua mangapi kwa watu 10816?
 
Back
Top Bottom