Kwa jinsi nilivyoona inabidi Starz wacheze mpira wa chini. Hawa jamaa wanachokifanya ni kutumia Senegal brand kuwatisha vijana wetu. Wasenegal wanakaba watatuwatatu. Ila Nafasi ipo ya kurudisha na hata kuwafunga kama vijana watacheza mpira wao na si kuwafuata hawa jamaa