Mh, wachezaji wetu wafupi si mchezo! Mtangazaji wao (wazungu) anakiri watanzania kisoka wameimarika kikweli na huenda wakasonga mbali zaidi (kwa wale mnaosikiliza comments)
Nakwambia tumegangamala sana tu....tumeipruvu...tunaonekana kabisa hatuna uzoefu....
Mtoe mtoe huyoooooo, anacheza mpira na watoto wa kiume hapa...alaa!